midoli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha toys midoli

    Habarini anaefahamu kiwanda cha toys midoli ya kuchezea watoto au anemfamu saplaya mkubwa naomba msaada tafadhali
  2. JamiiForums Tanzania Ipi imekuwa sababu ya ongezeko la ununuaji wa midoli ya maumbo ya ngono na buttplugs hapa Tanzania?

    Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo hatukuwahi kutarajia Watanzania tutaingiamo ila kwa bahati mbaya tayari tumo. Wanawake wanatumia hadi buttplugs zenye vibrator (ice breaker), vibrator device vya kutekenya (uke) na midoli ya mfano wa uume mkubwa. Sasa najiuliza ni kwamba watu hawaridhiki kingono...
  3. JamiiForums Tanzania Israel Bado Wanapiga Lebanon. Hivi Ndivyo Viongozi Wa Iran Wanavyowafanya Midoli Wafuasi wao

    Israel bado wanapeleka moto Lebanon, hakuna chochote ambacho Iran wamefanya kama walivyokua wakiahidi na kutoa vitisho huko kwenye Media. Viongozi wa Iran waligundua udhaifu wa Wafuasi wao hasa mitandaoni, hivyo wakawa wanaenda na biti, wanawageuza Midoli Wafuasi wao: - Israel ikishambulia...
  4. JamiiForums Tanzania Midoli ya kike iliyo uchi ipigwe marufuku Sinza na Kariakoo!

    Midoli ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga! Midoli hiyo pia ambayo ipo uchi imekuwa ikiacha maziwa yaliyosimama yakiwa wazi, huku watu wa jinsia zote wakijione pasi na...
  5. JamiiForums Tanzania Wazazi kama mna hii midoli, ichomeni moto

    😈🧸 THE DEMON BEHIND THE SMILE: PAZUZU VS LABUBU Katika historia ya kale, watu wengi waliabudu miungu ya uongo kama Ashera, Bali, Zeus, Dagon, Hubal na mingineyo. Leo hii, roho zilezile zimerudi duniani, lakini zimevaa majina na sura mpya ili kuabudiwa na watu bila wao kujua., Huko nyuma...
  6. JamiiForums Tanzania Baraza la Wazazi CCM, Kahama: Midoli inadhalilisha Wanawake, inachochea mmonyoko wa maadili katika Jamii

    Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia midoli ambayo imetajwa kuchochea mmonyoko wa maadili katika Jamii. Ushauri huo umetolewa na Baadhi...
  7. JamiiForums Tanzania Ubunifu: Kutumia nyuzi kutengeneza midoli

    Kwetu hapa bongo nimeona bado nyuzi jazijatumika kwa ukubwa na upana wake .. Mpaka sasa wanunua nyuzi wengi wamejikita kwenye mavazi kaka Masweta Soksi za watoto Vizibao Kofia nk Vikapu Lakini kuna hili la kutengeneza midoli ya watoto (teddy bear) na ni fursa nzuri kwa wale wajasiriamsli na...
  8. JamiiForums Tanzania Tumirogwa? Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China?

    Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China? Tumirogwa? - Miaka 61 ya Muungano!
  9. JamiiForums Tanzania Midoli: naomba kujuzwa chochote unacho kijua kuhusu midoli

    Wakuu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Kuna huu mjadala nimeukuta somewhere lakini nikaona si mbaya kama nikiuletajamvini hapa sote tuchangie mawazo. Suala ni kuhusu hii midoli yenye wadadawanapenda kuweka ndani au watoto kuchezea...baadhi ya watu wamekuwa wakitoa...
  10. JamiiForums Tanzania Una maoni gani kuhusu kuweka midoli katika vyumba vya watoto, hasa watoto wachanga

    Wazazi na walezi mna maoni gani kuhusu kuweka midoli katika vyumba vya watoto, hasa watoto wachanga? Kuna baadhi ya watu wana hofu kuwa si salama au si sahihi kuweka midoli kwenye chumba cha mtoto, hasa wakati wa usiku. Wengine huamini kuwa ni sehemu ya ukuaji wa mtoto na husaidia katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…