📢 Nafasi ya Kazi: Loan Officer
Je, una uzoefu au unavutiwa na kazi za mikopo, uchambuzi wa kifedha na huduma kwa wateja? MoneyMax Microfinance inatafuta Loan Officer mwenye uwezo wa kuchambua maombi ya mikopo, kusimamia utoaji na urejeshaji wa mikopo, pamoja na kujenga mahusiano mazuri na...