michezo na siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums John Heche: Tuliishtaki Yanga FIFA, ile barua waliijibu na watu wa Yanga wanajua nini kilitokea

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amebainisha kuwa chama chao kiliandika barua kwenda Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kulalamikia matumizi ya kisiasa yanayofanywa kupitia klabu ya Yanga. Akieleza kuwa walipokea majibu kutoka FIFA yakithibitisha kuwa malalamiko hayo...
  2. Think2

    JamiiForums GE2025 Mo Dewji naye kampigia kampeni Mgombea wa Urais Samia wa CCM

    Mpira wa tanzania na siasa ni kama mapacha tu yale yale ya rais wa yanga hersi na leo yametokea unyama yaani rais mo dewji nae ni chawa wa CCM.
  3. Waufukweni

    JamiiForums PreGE2025 Makalla: Rais Samia ana mchango mkubwa sana kwa timu ya Simba kufika fainali

    Chama cha Mapinduzi CCM kinaitakia kila la heri timu ya Simba katika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho "Rais Samia ana mchango kwa Simba kufika fainali kupitia hamasa ya goli la mama" -Amos Makalla katibu Mwenezi wa CCM.
  4. Waufukweni

    JamiiForums PreGE2025 Mbunge Mabula agawa Jezi kwa Timu 8 Nyamagana

    Mgeni rasmi kwa niaba ya Mhe. Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Maxwell Stanslaus akiongea kwenye hafla ya ugawaji wa jezi kwa timu 8 zilizofanikiwa kutinga hatua ya Mabula Super 8 Ligi ya Wilaya ya Nyamagana. Huu ni mwaka wa 10 mtawalia Mhe Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula anadhamini...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums PreGE2025 Dkt Biteko afurahishwa na mpiga danadana, amzawadia milioni 1

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati DKt Doto Biteko ametoa zawadi hiyo mkoani Kilimanjaro wakati aliposhiriki mbio za Kili Marathon za kilomita 5.
  6. G

    JamiiForums Yanga, Simba jitengeni na siasa na udini

    Hizi ni timu pendwa sana kwa watanzania wa rika zote, dini zote na vyama vyote vya siasa. Kwa ushauri wangu msijifungamanishe na vyama siasa na wanasiasa, msijinasibu na dini yeyote kama mnavyofanya sasa. Huo ni ushauri wangu wa kiutu uzima
Back
Top Bottom