miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi?

    Naombeni Majibu Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi pamoja na -kupata mtoto Nimeshajipata ,now Nina miaka 23 ,Nina kazi Serikalini, Nyumba, Elimu Japo kwa Msaada wa Wazazi
  2. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Inasemekana kipindi isaka anatolewa sadaka na baba yake ibrahimu Isaka alikuwa na umri wa miaka 34 je Isaka alikubali vipi?

    Wakuu unaposoma tu weweunadhani lilikuwa jambo rahisi sana .........soma kwanza Mwanzo 22:1Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa. 2 Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Alihukumiwa Miaka 30 jela kwa ubakaji miezi mitano iliyopita, leo tupo naye mtaani, hili limekaaje?

    Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni. Tumeenda Mahakamani mimi na Mke wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, ambapo tulikuwa tukiacha...
  4. JamiiForums Tanzania Leo Tarehe 26-02-2025: Imetimia miaka 140 Tangu kufanyika kwa Mkutano wa Berlin

    Miaka 140 iliyopita tarehe kama ya leo ndipo mkutano wa Berlin ulipohitimishwa. Mkutano ulianza Tarehe 15 Novemba 1884 na kuhitimishwa Tarehe 26 Februari 1885 kwa kusainiwa kwa makubaliano ya jumla baina ya mataifa yaliyoshiriki. Jambo la kustaajabisha kwenye mkutano huu ni kuwa ingawa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania ikitokea ukapata nafasi ya kurudisha nyuma muda ukiwa na miaka 20, ni vitu gani usingerudia kuvifanya

    Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa shida kama ningepata mkopo ila nikizifikiria milioni 12 za wazazi naumiaga, nimejipata nje kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Ally Mohamed Keissy: Nilitaka tubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15

    Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini (2010-2020), Ally Mohamed Keissy, amefafanua sababu zilizopelekea msukumo wake wa kutaka kubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15.
  7. JamiiForums Tanzania Okay...! Vijana wenzangu chini ya miaka 40 kuna kamjadala hapa. Tukutane utupe maoni yako!!

    Ungependa kuishi mpaka miaka 40 tu lakini uwe na MAISHA YA KIFAHARI, au mpaka miaka 80 lakini uishi MAISHA YA KAWAIDA?" ~ Tudondoke hapo chini.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Mradi wa Kihistoria wa Bwawa la Mkomazi wenye thamani ya Bil 18. Mradi uliobuniwa zaidi ya miaka 50 ilopita

    Ningependa kutoa taarifa rasmi kuhusu hafla muhimu ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Bwawa la Mkomazi na utiaji saini wa mikataba miwili (2) ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga ambayo itafanyika tarehe 24 Februari 2025, ambapo Mheshimiwa Dkt. Samia...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya kubebwa Ligi kuu si bure miaka yote timu inaishia robo fainali haijawahi kuvuka wala kupata hata medali CAF

    Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali moja ya CAF ila ukija katika ngazi ya Ligi inaonekana timu bora kumbe kuna bahasha na makosa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Trump unveil exploit done by mobile company! Out of the will.

    Tell Kenyan company!
  11. JamiiForums Tanzania Aliezaa na miaka 30 na kuendelea, msimuite single mother, hakutaka kukosa yote.

    Sasa mtu ukute amesoma, ila ajira hana, mume wa kumuoa hana, anafika miaka 30, window ya kupata kupata ujauzito inazidi kushuka, mnataka afanye nini? Kuliko kukosa vyote anaamua japo apate faraja ya mtoto. Msiwasakame sana hawa waliozaa kuanzia 30 na kuendela, wamejifanyia uokozi. Sitetei...
  12. JamiiForums Tanzania Nimemwambia mke wangu nikifikisha miaka 47 naacha kufanya tendo la ndoa napumzisha mwili wangu ili kuongeza siku zangu za kuishi

    Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria patashika ya mwili pale unapokuwa juu ya mwanamke,jasho ,udende,makelele sijui mwili unakakamaa kama...
  13. JamiiForums Tanzania Mama mzazi wa marehemu Notorious B.I.G afariki dunia

    Voletta Wallace, mamake marehemu nyota wa hip-hop Notorious B.I.G., amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 72. TMZ inaripoti Wallace alikufa kwa sababu za asili Ijumaa asubuhi huko Stroudsburg, Pennsylvania. Inasemekana alikuwa katika uangalizi wa hospice wakati wa kuaga kwake. Voletta...
  14. JamiiForums Tanzania Kivumbi cha ndoa nyingi za miaka ya sasa

    Ndoa nyingi za siku hizi zinapatikana kwa njia hii... Baada ya kutendwa na kuachwa na mpenzi wake aliyempenda kwa dhati, sasa anaamua kutafuta mtu yeyote wa kupoza maumivu ya kuachwa. Penzi jipya la kupoza maumivu linaanza taratibu mwishowe linakolea kwa kasi, kila mmoja anasahau stress zake za...
  15. JamiiForums Tanzania Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
  16. JamiiForums Tanzania Mke anahitajika miaka 35-45

    .,.,.,
  17. JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI-NINA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 8.

    Habarini Wana jukwaa. Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi. Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics. Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye Mashirika na pia kwenye sekta binafsi. Nipo tahari kufanya kazi mahali popote. Kwa Maelezo zaidi pamoja na...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyorudisha tabasamu la baba wa miaka 65 kutoka JF

    İlikuwa February 12 nilipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa ameniona JF. Mzee: “ Samahani nimeona post zako hivi JF Nina Shida ya Kinywa na meno nimepoteza meno yangu yangu nikiwa na Miaka 48 hivyo nahitaji Huduma ya meno bandia ya Kudumu, si Nita we za Kutafuna!? “ Mimi :”Ndyo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Timu ya madaktari wa China nchini visiwani Zanzibar yaleta mwanga wa matumaini kwa mama wa miaka 70

    Akiwa na umri wa miaka 70, Tuma Saidi Hamadi kutoka kisiwa cha Pemba, Zanzibar alikuwa katika hatihati ya kupata upofu, lakini maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China kumfanyia upasuaji wa mtoto wa jicho na kurejesha uwezo wake wa kuona. Safari ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB Yatangaza Hatua ya Kihistoria ya Kupanua Huduma Zake Hadi Dubai Inaposherehekea Miaka 30

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Slaa (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakizindua rasmi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…