miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama leo ungekuwa ndio unatimiza miaka 26 ungefanya nini?

    Mfano una miaka 27 Hujaoa wala huna mtoto Una shahada Huna kitanda wala asset yoyote Huna fani yoyote Je ungetafuta fani gani, ingeishia wapi?? Vipi kuhusu mahusiano. Naandika hivi kwa sababu vijana wengi wanapoteza dira kwa kukosa maelekezo kutoka kwa kaka zao Ahsante
  2. JamiiForums Tanzania Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004.

    Tukio la kuuawa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sadiki mwenye umri wa miaka 19, 3 January 2004, mkazi wa Iriboru mkoani Arusha, ni miongoni mwa matukio ya kusikitisha yaliyowahi kusimuliwa katika eneo hilo na ambayo, kwa mujibu wa simulizi za watu waliolifahamu tukio hilo, yaliibua...
  3. R

    JamiiForums Tanzania wazanzibari walitumia ubovu wa katiba kulipa kisasi Cha miaka mingi October 29!

    Ukweli mchungu huu! Sikumbuki ni uchaguzi upi uliwahi kufanyija Zanzibar kwa amani bila damu kumwagika zaidi ya uke wa mwaka jana pekee!! Kwa miaka mingi damu za wazanzibari zimemwagwa sana kipindi cha uchaguzi ,na Baraza la maaskofu liliishia TU kulaani na kukaa kimya kisa aliekuwepo alikua...
  4. JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Methu Aitaka Serikali Ya Ruto Kuweka Wazi “Scorecard” Ya Miaka Minne

    Seneta wa Nyandarua John Methu ameisukuma serikali ya Rais William Ruto kutoa hesabu kamili ya utendaji wake tangu ilipoingia madarakani mwaka 2022. Methu amesema serikali haipaswi kupuuza ukosoaji kutoka kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa kumkumbusha tu kuwa aliwahi kuwa sehemu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Bongo fleva Honour dhidi ya Siasa bongo

    Heshima kwa wasanii wote walihusika kufikisha hapa muziki wa kizazi kipya maarufu bongo fleva,pia R.I.P kwa wasanii waliotangulia mbele za haki especially D-ROB.Kwa miaka mingi baad hi ya wasanii wamejaribu kuleta ladha tofauti na asili yenyewe(bongo fleva) lakini wapo waliosimamia misingi ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Miaka kadhaa nyuma Usimkatie tamaa Mtoto/kijana wako?

    Miaka 20s iliyopita, Mlango unafunguliwa mwalimu wa biology anaingia akiwa na mitihani ya kidato cha kwanza. Mwalimu anasalimia darasa na kutangaza matokeo wa kwanza anamtangaza kapata 99% na wa mwisho kapata 0% , kisha anaanza kugawa karatasi Wakati namwangalia mwalimu anagawa karatasi naona...
  8. JamiiForums Tanzania Chrysalis: Safari ya Miaka 400 Kwenda Angani

    HABARI MPYA🚨: Wahandisi wamependekeza chombo kikubwa cha angani chenye urefu wa maili 36 kinachoitwa 'Chrysalis'. Chombo hiki kinaweza kubeba watu 2,400 kwenda sayari ya Alpha Centauri, ambayo ipo umbali wa miaka ya mwanga 4 (yaani 4 light years) kutoka hapa kwetu. Safari hii ni ya kwenda tu na...
  9. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mtanzania, umevuka miaka 35 na huna Passport upo kwenye list ya watu maskini

    Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa na passport kuliko wale wasio na passport kwasababu ya exposure wanayokuwa nayo kwenye sekta...
  10. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya BONGO FLEVA pasipo kumkumbuka mkali voice wounder hamna kitu

    Hawa wanaojiita wasanii wa zamani wanaandaa tamasha lao bila mkali voice wounder ni kichekesho... Leo hii Madee anapewa nafasi kubwa kwenye Bongofleva ya zamani... Hawajamleta mkali voice wounder Mkali wa Nimepende nani, Kisa cha mshenga, nimekosa, Hunifaham etc Bado nitaendelea kuamini ile...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo flavor

    Hili tamasha la miaka 30 ya bongo fleva limeibua mambo mengi tusioyajua, ni bora kusikiliza zile nyimbo zao za zamani kuliko kuwasikiliza hawa wasanii, Sauti zao zimepotea kabisa, sijui ni uzee au washazilia unga, bangi na pombe sielewi, ninachojua ni kuwa Dudu baya ndie pekee mwenye sauti yake...
  13. JamiiForums Tanzania Sheria ya miaka 30 kwa bangi na mirungi ipitiwe upya

    Hii Sheria ya mtu amekutwa na bangi au mirungi na kupigwa mvua ya miaka 30 naona kama haifai kabisa. Sheria hii imekua mwiba kwa vijana sana , kijana wa miaka kuanzia 18 mpaka 39 unampa hukumu ya miaka 30 jela hapo unakua unamfunza au kumkomoa? Stage ya ujana inaaminika ni hatua ya mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Pamoja na kukopa trilion 51 ndani ya miaka 5 bado mradi wa SGR Unasuasua tatizo nini?

    Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kitengo Cha habari Cha Yanga kimepwaya,kwa miaka mitano kimeshindwa kuteka kizazi kipya Cha mashabiki hatimae wanachama

    Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani. Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka...
  16. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila mtu ninayekutana naye akinichekea nakuta ana pengo. Afya ya meno imekuwa tatizo kubwa sana miaka hii

    Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi. Hii inanifanya niamini kwamba suala la kutunza afya ya kinywa na meno limekuwa changamoto kubwa kuliko tunavyolichukulia...
  17. JamiiForums Tanzania Chuando tan ana miaka 60 lakini ana muonekano wa kijana kabisa

    Ni msingapore jamaa ana miaka 60 lakini muonekano wake ni WA miaka 30, jamaa kushangaza ulimwengu jinsi anavo jitunza
  18. F

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva ina miaka 30? Kulikuwa na kwanza unit ya akina D knob na Niga one

    HAPO ZAMANI _______________ Vichwa viwili muhimu katika historia ya muziki wa Hip Hop nchini ambapo chimbuko lake ndilo lililozaa muziki wa Bongo fleva, Adili Kumbuka (Nigga One) na Robert Mwingira (D-Rob). Wakali hawa walikuwa Marapa wa kundi la Kwanza Unit, na wawili wote kwa sasa ni...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Staafisha watumishi wenye miaka 45 na zaidi,halafu anzisha ajira za mikataba ya miaka mitano mitano!

    Comrade!ikitokea hatma imekudondokea na hatmae ukawa mkuu wa kiti kikubwa katika nchi hii!Hili nalo lipatie ufumbuzi kama ninavyoandika sasa! Kumbuka nchi yetu Haina tatizo la ajira Bali sera mbovu za ajira ndio zimetufikisha tulipo,unawezaje kumuajiri mtumishi ajira ya maisha !?wakati Kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Siri ya fichuka Mr. Sugu kutokushiriki miaka 30 ya bongo fleva

    SIRI YA FICHUKA MR. SUGU KUTOKUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA Mr. II Sugu amevunja ukimya! 😱 Anasimulia: "Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tuende studio. Baada ya kutoka studio alitaka kutumia mkwanja Milioni 2 kwaajili ya Hiyo Collaboration. Nikawaambia Madee, mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…