miaka 15

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. Thinker96

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba yetu inamruhusu Rais Samia kukaa miaka 15 Ikulu?

    Hivi imekaaje kwa utaratibu wa Katiba yetu? Maana: Pierre Nkurunziza alikaimu miaka mitano ya mwenzie akaja kukaa kumi yake ikawa 15. Edgar Lungu alikaimu miaka mitatu akakaa yake mitano na akagombea mitano mingine akashindwa. Je, kwetu Tanzania SSH kwa kuwa amekaimu mitano ya JPM, sasa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035?

    Nachokoza mada. Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Malaria yaanza kufanyiwa majaribio baada ya miaka 15

    Wakati mapema wiki hii dunia ikiandika historia ya kupata chanjo ya ugonjwa wa Malaria kwa watoto, Tanzania imeanza utafiti wa chanjo ya majaribio R21 itakayohusisha watoto 600. Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya chanjo ya awali RTS,S iliyofanyiwa utafiti na Taasisi ya Ifakara Health...
Back
Top Bottom