mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi usipigie debe mgombea mmoja kiti Cha makamu wako

    Inaonekana kuwa unampenda Arafat moyoni kwako, lakini kwenye kazi sio hivyo. Tuache sisi wanachama tukupatie makamu wa rais wako wa club. Kupigia debe mgombea mmoja na kumuacha mwingine sio afya sana kwa club, hasa yule unaempigia debe akiangushwa kwenye kisanduku cha kura. Wacha kila mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo. Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo. 1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke. 2. Form yakwanza...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais Kenyatta: Kila Mgombea ajiandae kupokea matokeo ya aina yoyote

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa. Kenyatta ambaye anamuunga mkono mgombea wa Azimio La Umoja, amesema hawatakiwi kuhawamisha wapiga kura wao kufanya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Martha Karua ateuliwa kuwa mgombea mwenza wa Raila Odinga

    Akizungumza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta, Bw Odinga alimsifu Bi Karua kwa bidii na rekodi yake ya haki za binadamu. "Nilimhitaji Joshua wa kweli kwenye kando yangu, ambaye hatakuwa koti la ziada. Baada ya kutafuta na kutafakari, pamoja na mashauriano, nimefikia uamuzi...
  5. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi

    Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi. Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu. Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi wanavyoenenda. Ni dhahiri inaonyesha hawana muda mrefu wataachia hili taifa mikononi mwa chama kingine. Sasa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima, nawaomba CCM 2025 mtuletee Mgombea bora mwenye uchungu na nchi hii

    Baada ya kuona kabisa kwamba tuko kwenye uelekeo ambao hauna dira, napemda kutoa Rai kwa Chama cha Mapinduzi 2025 mtuletee mgombea Urais mwenye dira maono na mwenye uchungu na Rasilimali za nchi hii. Hatuhitaji mtuletee mtu ambaye kutwa kucha anawaza uchaguzi na jinsi ya kuendelea kuwa Rais...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA andaeni mapema mgombea wenu wa nafasi ya Rais wa JMT 2025 kwa sababu Tundu Lissu passport yake iliibwa. Msituletee mCCM kama 2015

    Ni ushauri tu kwa sababu CHADEMA wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu. Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga. Mimi napendekeza 2025 CHADEMA imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…