Mgombea urais kupitia Chama cha ADA TADEA, George Bussungu, amesema iwapo atachaguliwa, serikali yake itajenga mji maalum wa teknolojia unaoitwa Bongo Technological City, ambapo vijana wenye vipaji kutoka mikoa yote watapelekwa kwenda kuvumbua na kuendeleza miradi mbalimbali ya kiteknolojia...