mgombea ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    GE2025 TARIME MJINI: CCM Makao makuu wanapambana kufanya maridhiano mgombea ubunge ACT - Wazalendo ajitoe kumuokoa Esther Matiko asiyekubalika

    Juhudi kubwa zimefanyika ili wananchi na wana CCM Tarime kumkubali Esther Matiko lakini zimeshindikana. Vilanza vitisho toka kwa Mkuu wa Wilaya dhidi ya watu walioandamana kupinga uteuzi wa Esther Matiko ambayo sio chaguo la wana CCM Tarime mjini. Baadae kikaitwa kikao cha maridhiano kati ya...
  2. tonicimmobility

    GE2025 Mgombea Ubunge Mbeya auza Samaki

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Mhe. Patrick Mwalunenge katika kuhamasisha makundi mbalimbali wajitokeze kwenye mkutano wa mgombea nafasi ya U-Rais kwa tiketi ya chama chao, ameonekana akiuza samaki katika soko...
  3. kyagata

    GE2025 Mgombea ubunge aahidi kuwapatia wananchi UJI huko Lindi

    Wakuu mimi Nimeshangaa kidogo,huyu mgombea ubunge huko mkoani lindi ameahidi kupatia wananchi uji. Hivi hawa wanasiasa wako serous kweli?
  4. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea ubunge Kibamba aahidi kuboresha maslahi ya Bodaboda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba, mkoani Dar es Salaam, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 2, 2025, akiwa katika Kata ya Saranga, ameahidi kuboresha maslahi ya waendesha bodaboda endapo atapewa nafasi ya kuwakilisha wananchi wa jimbo hilo bungeni...
  5. McLaren

    GE2025 Mgombea Ubunge wa CCM Mvomero apigwa tambiko na wazee wa Kiluguru

    Wazee wa kimila wa kabila la Waluguru, Kata ya Mlali wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wamefanya matambiko maalum ya kimila kwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Sara Msafiri na Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Frank Mwananziche, wakidai ni kwa ajili ya kuwalinda...
  6. Mtu wa Majira na Nyakati

    Mfahamu Mgombea ubunge aliyeshika nafasi ya pili katika jimbo la Bukoba mjini, Ndugu Alex Muganyizi

    HUU HAPA UTAMBULISHO WA ALEX DENIS MUGANYIZI Mgombea Ubunge – Bukoba Mjini (CCM) Aliyeshika nafasi ya pili. Alex Denis Muganyizi ni mfano wa kiongozi wa kisasa anayechanganya kwa ustadi taaluma, maadili na upendo kwa watu wake. Ni mwanasheria mbobezi katika masuala ya kodi, mwenye shahada ya...
  7. M

    GE2025 Wasiojulikana wavamia nyumbani kwa mgombea ubunge moshi vijijini na kupasua kioo cha gari la mke wake

    Huko mkoani Kilimanjaro hali ya hewa imeanza kuchafuka mapemaa baada ya watu wasiojulikana kudaiwa kuvamia nyumbani kwa mgombea wa kiti cha ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya chama cha CHAUMA,Michael Kilawila na kuharibu gari la mke wake kwa kupasua kioo cha nyuma. Tukio hilo...
  8. R

    GE2025 Mgombea Ubunge CHAUMMA Jimbo la Kinondoni ajinadi kumng'oa Abbas Tarimba wa CCM

    Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CHAUMMA Moza Ally amesema amejipanga kushinda Jimbo hilo, licha ya ugumu wa Mbunge wa sasa anayewakilisha Chama tawala. Moza amesema anafahamu matatizo mengi ya watu wa Kinondoni hivo itakuwa kazi nyepesi kwake kufikisha matatizo yao BUNGENI na...
  9. R

    GE2025 Wanachama CCM Jimbo la Nachingwea Lindi, Wamerudisha Kadi za uanachama baada ya Mgombea ubunge waliyemtaka kuondolewa kwenye kinyang'anyiro

    Wanachama wanaodaiwa kuwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Nachingwea mkoani Lindi, wameonekana wakirudisha vifaa mbalimbali na kadi za chama hicho, chanzo kikielezwa kuwa mgombea ubunge waliyemtaka ameondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hiyo Chanzo: Habari Digital
  10. R

    GE2025 Grace Kiwelu mtia nia Ubunge CHAUMMA Jimbo la Vunjo arejesha fomu

    Mtia nia nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Grace Kiwelu, amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Vunjo, huku Katibu wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema akitaka uchaguzi uwe huru na wa haki Lema ameyasema hayo leo Agosti 14, 2025...
  11. R

    GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Daniel aibuka Mshindi Kura za Maoni Mgombea Ubunge Serengeti

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mara, Mary Daniel, ameibuka mshindi wa kura za maoni za CCM kuwania ubunge wa Jimbo la Serengeti, akimshinda kwa mbali mbunge aliyemaliza muda wake, Amsabi Amri Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na mratibu wa uchaguzi huo...
Back
Top Bottom