Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limesema linafanya uchunguzi tukio la kuuawa kwa Daud Mtuyehabi, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Jimbo la Siha.
Tukio la kujichukulia sheria mkononi limetokea Oktoba 7, 2025 majira ya saa 1:30 usiku katika Kijiji cha Kilingi, baada...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kakonko kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Damas Philbert Damas, amemuombea kura mgombea ubunge mwenzake wa chama cha ACT Wazalendo wa jimbo hilohilo, Olaf Kaboboye, katika tukio lililofanyika Kata ya Katanga, Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma
Tukio hilo lilitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.