Hili ni Jimbo la Chamazi Dar es Salaam, mgombea ubunge kupitia chama ACT alipigwa duwaa baada ya kumkuta msimamizi wa uchaguzi katika kituo mojawapo akiwa anatiki kwa wagombea wa CCM.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Akizungumza katika kampeni zake, Tausi amesisitiza kuwa atahakikisha wananchi wengi wanapata...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, leo ameshiriki ibada maalum na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Ngarenaro, lililopo katika Kata ya Ngarenaro, Jimbo la Arusha Mjini. Katika ibada hiyo ya...
Leo mishale ya saa 7 mchana nimeona kundi kubwa la akina mama hapa Bonyokwa wakiwa wanazingira kwenye ukumbi wa Masia, katika kufuatilia zaidi kumbe mgombea ubunge jimbo la Segerea, bibie Bonnah Kamoli alikuwa amewaita ili kuungwa mkono kwa kuwapa elfu 5 na zawadi nyingine ndogondogo
Wakati...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga na Naibu Waziri, Ofisi ya waziri Mkuu (Kazi, Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita mapinduzi makubwa yamefanyika kwenye uwezeshaji wananchi...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dickison Lutevele maarufu kama Villa, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29, akiwahakikishia kuwa hali ya usalama itaimarishwa ili kila mtu ashiriki uchaguzi kwa amani.
Akizungumza...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
Ile standi ya daladala naona mmekuja kumwaga michanga miaka mitano ijayo muache kumwanga miachanga muweke stendi ya kueleweka maana mnapokea kodi za wananchi.
=====================
Mgombea ubunge wa Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timoth, ameahidi kuimarisha maendeleo...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Seif Abalhassan, ameahidi kurejesha heshima ya Jiji la Tanga endapo wananchi watampa ridhaa kwenye uchaguzi ujao.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe...
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga leo Septemba 25,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kuomba ridhaa ya Wananchi wa Jimbo la Tabora mjini kumchagua.
Akiwa katika kata ya Mwinyi Mgombea Ubunge huyo amewaahidi wananchi wa kata hiyo kutatua...
Mgombea ubunge wa Mtambile, Zanzibar, Mohamed Abdallah Kassim amewaomba wananachi kutunza amani kwa sababu ni tunu muhimu ya taifa ambalo wanapaswa kuilinda ili kufanikisha maendeleo na ustawi wa kila mmoja.
Amesema hayo leo, Septemba 27, 2025, wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM za...
Mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Enock Koola akiwa anaendelea na kampeni katika kata mbalimbali za jimbo hilo amewahaidi wananchi wa jimbo hilo kutatua kero ya maji inayo wakabili wananchi hao Aidha amewaomba wananchi wote wa Vunjo kujitokeza kwa wingi...
Mgombea ubunge Same Magharibi Mkoa wa Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Gervas Mgonja, ametumia mkutano wake wa hadhara uliofanyika leo Septemba 17,2025 katika uwanja wa Cooperative, kumnadi mgombea udiwani wa Mhezi jimboni humo kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Anthony...
Wakuu,
Katika mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Siha, mgombea ubunge Katika jimbo hilo kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mdoe Yambazi Azaria, alikua ni miongoni mwa mamia ya wananchi waliojitokeza Katika Mkutano huo huku akimpongeza mgombea urais wa CCM, Dkt. Samia...
Wakuu,
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde maarufu Kibajaji, amesema baadhi ya viongozi wa umma wakishapewa nafasi za uongozi wanasahau utu kwa wananchi wanaowaongoza.
Kibajaji ameyasema hayo jijini Mbeya, alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za CCM Jimbo la...
Mgombea wa ubunge katika jimbo la Monduli Mkoani Arusha Issack Corpion Kadogoo akizungumza kwenye kampeni amesema kuwa Hayati Edward Lowassa alishwahi kumwambia kuwa atakuja kuwa Mbunge wa Monduli
Ikumbukwe kuwa mtoto wa Edward Lowassa alikatwa na CCM kuwa mgombea wa Ubunge wa CCM kwenye hili...
Kuna mgombea wa Viti maalum kutoka mkoa wa Tabora anayeitwa Christina Mndeme, katika hatua ya kumwombea kura Samia Suluhu, ametupa burudani kwa kupiga magoti na kugalagala chini.
Hivi ndivyo wananchi wa Kigoma walivyojitokeza kwenye ufunguzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma mjini.
Soma Pia: - GE2025 - Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Agnesta Lambert Kaiza amemsifia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha anatenga fedha za kutosha kwenye mikopo kwa ajili ya wanawake, vijana na wenye ulemavu.
"Mama Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani akasema...
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abuu Jumaa amesema, mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni Rais aliyeletwa na Mwenyezi Mungu akieleza kuwa hilo linathibitishwa na namna alivyofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.