mgogoro wa ukraine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Kiama Dakika kwa Dakika: Yatakayojiri Vita ya Nyuklia Kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Urusi Juu ya Mgogoro wa Ukraine

    Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo? Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
  2. Bams

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ukraine, Maseneta wa Marekani Wasema Trump Ni Kibaraka wa Putin, Anaongea Kwa Niaba Yake Binafsi

    Maseneta mbalimbali wanasema hawakubaliani na mtazamo wa Putin katika kuumaliza mgogoro wa vita ya Ukraine kwa vile Trump anatumika na Putin kulazimisha matakwa ya Putin. Jumatano iliyopita, Rais Trump akiwa Miami alisema kuwa Zelenskyy lazima akubaliane na mpango wa kumaliza vita, au la...
  3. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mgogoro wa Ukraine na Gaza!

    Ni rasilimali tu hakuna kingine! Wakubwa wa dunia huangalia faida kwanza kabla ya kuingia vitani! Mgogoro wa Ukraine: 3 Feb, 2025 20:36 https://www.rt.com/news/612127-trump-demand-rare-earth-ukraine/ 5 Feb, 2025 07:44 https://www.rt.com/russia/612197-ukraine-doesnt-control-minerals/...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Putini anataka kukutana haraka iwezekanavyo na Rais Trump ili kujadiliana jinsi ya kumaliza mgogoro wa Ukraine

    Trump says Putin wants meeting to discuss Ukraine war “President Putin said that he wants to meet with me as soon as possible,” says Trump during an address in Arizona Servet Gunerigok |22.12.2024 - Update : 23.12.2024 WASHINGTON US President-elect Donald Trump said on Sunday that Russian...
  5. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

    Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, amewataka wajumbe kumheshimu wakati wa mkutano wa Bunge uliofanyika Geneva siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2024. Mvutano ulianza baada ya Artur Gerasimov, mwakilishi wa Ukraine, kuomba "ripoti kamili ya mchakato" wa mkutano wake na kiongozi...
Back
Top Bottom