mfungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mfungo wa Ramadhani na Sikukuu ya Eid mbali na nyumbani

    MFUNGO WA RAMADHANI NA SIKUKUU YA EID MBALI NA NYUMBANI Hii mbali na nyumbani nimemwibia gwiji wa fasihi, Shafi Adam Shafi. Adam Shafi ameandika kitabu, ‘’Mbali na Nyumbani.’’ Ukisoma kitabu hiki utapata hisia mtu anakuwaje akiwa mbali na kwao. Mombasa si mbali na Dar es Salaam kiasi cha...
  2. JamiiForums Tanzania Mfungo wa Ramadhani ufanywe kuwa utaratibu wa kila Siku wa ulaji. Soma Faida hizi za pendekezo hili.

    Mimi ni mkristo. Nimewahi kushiriki kama wiki nzima kushiriki Mfungo huu. Asubuhi SAA 9-11 tulifuturu Msosi mzito. Wali, nyama,samaki,tambi,uji,juice,matunda mbalimbali, maji ya kunywa, mboga za majani na Kachumbari mzigo. Jioni SAA 12 tulifuturu vitu simple simple tu futari. SABABU KWA NINI...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida. Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…