mfumo wa utawala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Marekani na Israel hawataweza kubadali mfumo wa utawala wa Irani kutoka Sharia hadi Demokrasi bila kuweka vikosi vya ardhini ndani ya Irani.

    Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
  2. figganigga

    Kwakuwa Rais Samia kaiga mfumo wa utawala wa Nicolae Ceaușescu, Je, kumkuta kama ya Nicolae?

    Nimejaribu kuandika kama alivyosimua Mariam Paul kwenye Video hapa chini. Christmas ya mapinduzi. Mwaka 1965 alekwa Raisi wa Romania, Geoge Geogu Deji. Alifariki dunia akiwa madarakani. Kwa mjibu wa katiba yao, Raisi akifia madarakani. Katibu mkuu wa chama cha kikomunisti, PCR, anarithi kiti...
  3. Genius Man

    Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
  4. Fbn

    Tanzania hakuna ukabila ila kuna udini ndani ya mfumo wa utawala

    Udini ndio unabeba viongozi ambao mpaka sasa unaona wengine wanakaa kimya na wengine upaza sauti. Kwa mtindo huu kunasiku wananchi watachagua mtu ambaye ni buza maana kila wanaoletwa watawala wamekuwa washenzi.
  5. Mwananchi360

    Tunapaswa Kubadili Mfumo Wa Utawala

    Baada ya kuona CAG alichosema, Tanzania tunapaswa kubadili kabisa mfumo wa utawala wa taifa letu ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kuboresha uwezo wetu wa kufikiri 🧠, kuuliza na kutenda. Mfumo huu mpya unapaswa kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali, kuhakikisha usimamizi bora wa...
  6. Mganguzi

    PreGE2025 Nape Nnauye na January Makamba mfumo wa utawala wa sasa umewakataa. Nendeni upinzani mungu atawatokea mkiwa huko huku hata bungeni hamrudi 2025!

    Za ndaani kabisa ni kwamba Nape na January pamoja na wabunge 15 wa CCM hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe,wakiwamo pia mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mbunge wa Chato, mbunge wa Kilolo, mbunge wa Kigoma Mjini na aliyewahi kuwa spika hawatarudi kabisa...
  7. Mhafidhina07

    Unawezaje kutofautisha Mfumo na Utashi wa mtu?

    Mfumo ni muundo unaotumika kutofautisha, kutekeleza au kuonesha majukumu ya kikazi au majukumu, mfumo ni Mchakato wa Mda mrefu ambao huendesha taasisi fulani ni kwamba bila ya Mfumo hakuna Taasisi. Mtu hua ni mtumwa/zao/kiungo katika mfumo hivyo mfumo unamuhitaji mtu ili kujiendeleza kuwepo kwa...
  8. mjizu123

    Rais Samia ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala Tanzania

    Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa na kipekee sana wahafidhina ndani ya Serikali na chama Tawala ambao wanajaribu kukwamisha au...
  9. winnerian

    Tukope Trilioni moja kuukarabati mfumo wa Utawala Bora na Sheria ili kumaliza yote yanayoirudisha nchi yetu nyuma

    Kuukarabati mfumo wa "Utawala bora" pamoja na sheria zetu ili kuziba na kurekebisha mianya, nyufa, matobo, maadili mabovu, uzembe ofisi za umma, pamoja na mambo yote yanayoifanya nchi yetu iende kinyumenyume ikiwa jitahada za dhati zinafanyika na viongozi wakubwa lakini bado matokeo...
Back
Top Bottom