mfumo wa nida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Common Folk

    GE2025 INEC: Mfumo wa TEHAMA wa INEC umeunganishwa (Interphase) na Mfumo wa NIDA ili kuboresha utendaji

    Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."
  2. ngara23

    Kwanini Taifa stars haiunganishwi kwenye mfumo wa NIDA ili ishinde Kwa Chama chetu

    Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu mfumo ili iwe inaingia uwanjani kucheza ikiwa inaongoza goli 3, na ili iende kuongeza magoli
  3. kwa-muda

    Kuna shida katika mfumo wa NIDA online?

    Wakuu, toka juzi najaribu kuangalia namba ya nida kwa kuingiza details husika lakini inaniambia taarifa zimekosewa wakati ziko sahihi. Nilikuwa najaribu kupata namba ya nida ya mdogo wangu. Sasa nikaona isiwe tabu ngoja niangalie kama yangu itakubali maana mimi tayari nina kitambulisho na mara...
Back
Top Bottom