mfumo wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

    Kauli ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kwamba mifumo ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeunganishwa na ile ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imewaibua wakuu wa taasisi hizo na kukanusha madai hayo. Wakuu hao...
  2. R

    GE2025 Polepole kasema ACT ni kitengo cha mfumo wa CCM, Mpina katumwa na CCM kwenda ACT? Dorothy asingelitosha kucheza scene hiyo?

    Najaribu ku connect matukio ya Mpina na Samia wake.............................tunakudai, kukatwa, then kwenda CCM. Dorothy kuachia urais, Mpina kuchukua fomu...WHAT DOES ALL THAT MEAN? Quencher All in all. main take home msg ni kuwa vyama vyote vilivyoingia kwenye uchaguzi ni matawi ya CCM...
  3. The ice breaker

    Hata Polisi wanachukizwa na mfumo wa CCM

    Inawezekana Polisi na wao wameshachoka kutumika kama Toilet paper chini ya uongozi wa ccm.. sema ndio hivyo hakuna namna na walishaapa watailinda katiba ya nchi , na rais .. Ila deep down hata wenyewe police hawapendi namna mambo yanavyo enda Kwa Sasa .. Kazi yao ni kufwata oda tu kutoka juu ...
  4. Mhafidhina07

    Unawezaje kutofautisha Mfumo na Utashi wa mtu?

    Mfumo ni muundo unaotumika kutofautisha, kutekeleza au kuonesha majukumu ya kikazi au majukumu, mfumo ni Mchakato wa Mda mrefu ambao huendesha taasisi fulani ni kwamba bila ya Mfumo hakuna Taasisi. Mtu hua ni mtumwa/zao/kiungo katika mfumo hivyo mfumo unamuhitaji mtu ili kujiendeleza kuwepo kwa...
Back
Top Bottom