Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Niende kwenye mada husika hapo juu.
Viongozi kama wabunge na mawaziri mpaka sijui nani huko juu. Wangeonesha mfano mzuri wa kukupenda taifa lao kwa kukubali nusu ya mshahara wao na marupurupu yao yote yakatwe yaelekezwe kuajiri walimu...