mfamasia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Madaktari na Wafamasia wenye 'access' ya dawa kwenye maeneo yao ya kazi, hutumia fursa hiyo kuzidokoa na kupeleka kwenye maduka yao

    Mimi ambaye nipo kwenye utumishi wa umma mwaka wa 11 sasa ndani ya ofisi 3 tofauti za serikali inatosha kuitwa mkomavu. WAFANYAKAZI wengi wa umma wanakwenda kazini aidha kupiga deal tu na wengine ambao ofisi zao hazina mafuta mafuta huenda kazini kutimiza tu wajibu ili wasifukuzwe kazi walijua...
  2. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mfamasia ngazi ya degree

    Habari nahitaji Mfamasia Ngazi ya Degree! Aliye tayari tuwasiliane: Contact: 0672473087
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mfamasia akiajiriwa serikalini

    Habari ,hivi mfamasia akiajiliwa serikalini bado anaruhusiwa kuitumia leseni yake kufungua na kusimamia famasi?
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Songwe: Mfamasia akutwa amefariki, mwili wadaiwa kuokotwa ukiwa na majeraha

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Agostino Senga amesema uchunguzi wao kuhusu kifo cha aliyekuwa Mfamasia wa Kituo cha Afya cha Isansa, Wilayani Mbozi, Mkoani Songwe aliyetambulika kwa jina la Daudi Kwibuja (30) hakijatokana na ajari kama ilivyodhaniwa kutokana na mwili kuokotwa kando ya...
Back
Top Bottom