mfalme juha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vitabu hivi vitatu ukiunganisha unapata picha kamili ya Tanzania na utawala ulivyo sasa na kuelekea

    Tujikumbushe vitabu vitatu.Kiukweli kama ukiinganisha unaona jinsi serikali ya ccm ilivyo. 1.kitabu cha kwanza kinaonesha utawala wakijiona zaidi ya juha. 2.Katika nchi kila kitu kinasadikika na utawala unakuwa wa kusadikika na wenye kufanya lolote. 3.Nguo wanazo zivaa nikubwa kuliko walivyo.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kumlaumu Mfalme Juha kwa yanayoendelea ni kumuonea tu

    Habarini wana jukwaa. Kwanza nitoe pole kwa wote walioathirika kwa namna yeyote ile na vurugu zilizotokea za uchaguzi.Wote tumeguswa kwa namna moja ama nyingine na ninachoweza kusema ni tuwaombee walipopoteza maisha na Mungu awapunguzie adhabu ya Kaburi. Nimekuwa nikifuatilia mitandao ya...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi ya kusadakika yenye mfalme juha sababu ni kaptula la marx

    Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali. Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa. Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi. Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
  4. jangala22

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kitabu cha Mfalme Juha

    Habari wakuu nahitaji msaada wa mwenye pdf au link nayoweza kupata kitabu cha mfalme juha.
Back
Top Bottom