Mfalme Harald V wa Norway amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Agosti 28, 2026 akiwa na umri wa miaka 89, baada ya kulitumikia taifa hilo kama mfalme kwa zaidi ya miaka 35.
Kifo cha Mfalme Harald kimefungua ukurasa mpya katika uongozi wa kifalme wa Norway, ambapo mwanawe, Haakon...
Mfalme Harald V wa Norway amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89, baada ya kulazwa hospitalini wiki iliyopita kwa matibabu ya ugonjwa nadra wa damu.
Ikulu ya Oslo imesema mfalme huyo alifariki kwa amani saa 06:35 kwa saa za eneo (04:35 GMT) siku ya Ijumaa katika Hospitali ya Taifa ya Oslo...
Mfalme Harald V wa Norway yuko katika hali mbaya ya kiafya na amelazwa hospitalini, ikulu ya kifalme nchini humo imesema.
Mke wake, Malkia Sonja, pamoja na mtoto wake, Mrithi wa Kiti cha Ufalme, Prince Haakon mwenye umri wa miaka 53, wameghairi shughuli zote za kifalme na wamekusanyika katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.