WAYAHUDI MARA NYINGI HAWAWEZI KUKUACHA ADUI YAO UKAINGIA KABURINI KWA AMANI. LAZIMA WAKUUE. HIYO NI KANUNI YA MFALME DAUDI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Moja ya Kanuni za Wayahudi walizorithi kwa wazee wao. Ni auae kwa upanga sharti afe kwa upanga. Jino kwa jino ni kanuni ya kiyahudi...
Kwema Wakuu!
Tulikuwa na Magufuli, akafanya aliyoyafanya. Yapo mazuri akapongezwa kwa mazuri. Na yapo mabaya akalaumiwa na kukemewa, kuliliwa na kutukanwa kwa Mabaya.
Moja ya Mabaya yaliyotokea kipindi cha Magufuli ni pamoja na utekaji, kujeruhiwa na mauaji. Huku matukio hayo mengi yakiwa...
Ujasiri na Uhodari wa Benjamin Netanyahu kwenye ulimwengu wa kivita ni copy and paste ya King David.
Mfalme David alikuwa hodari na jasiri Sana linapokuwa suala LA Vita. Utawala wa mfalme David ulijaa vita miaka 40.
Na ni nadra Sana David alipigwa.
Kutokana ni hilo kwenye bendera ya Israel...
Freem Mbowe, kama kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, anaweza kuhusishwa na Mfalme Daudi wa Biblia kwa njia kadhaa. Mfalme Daudi anajulikana kwa uongozi wake wa busara, ujasiri, na uwezo wa kuunganisha watu kwa malengo ya pamoja.
Katika muktadha wa kisasa wa siasa za Tanzania, Mbowe...
Mfalme Daudi ni moja ya watu mashuhuri katika Biblia, na vita alivyopigana vinaelezewa hasa katika vitabu vya 1 Samweli, 2 Samweli, na Zaburi. Hapa ni baadhi ya vita muhimu alivyopigana kwa mujibu wa Biblia:
1. Vita dhidi ya Goliathi (1 Samweli 17)
Akitumia kombeo na mawe matano, alimshinda...
Israel ni ileile ya Isaka, Yakobo na Ibrahim. Hawa watu ni wapiganaji na ni wapenda Vita tangu hapo mwanzo. Sina haja ya kueleza hayo
Ila nataka kueleza mfanano wa Benjamin Netanyahu na Mfalme Daudi wa Israel. Jamaa ni mtu wa kabila LA Yusufu.
Daudi akiwa kijana mdogo ujasiri wa Mambo ya Vita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.