Dk. Angela Dorothea Merkel (amezaliwa tar. 17 Julai 1954, mjini Hamburg) ni mwanafizikia na mwanasiasa wa Kijerumani, na ni Chancellor (kansela/Waziri mkuu) wa Ujerumani tangu 22 Novemba 2005.
Familia na elimu
Alizaliwa 1954 mjini Hamburg katika familia ya Horst na Herlind Kasner. Babake...