methali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. malisoka

    JamiiForums Tanzania Hizi methali zilikuwa na maana sana" Mficha maradhi kilio kitamuumbua"

    Nabendaga sana methali hizi, pale jambo mtu anapolificha wakati akijua ni lazima litatoa outcome mbeleni. Kwa mfano mtu akificha ujauzito/ mimba muda ukisonga itajulikana tu anamimba. Ni hayo tu nimekumbuka mbali sana. Hasa pale muibuko unapotokea. inakuwaga aibu na fedheha. Jamani tuenzi...
  2. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Methali zipi za Kiswahili zimekusaidia kati ya hizi 610?

    1. Aanguaye huanguliwa. 2. Asiye sikia la mkuu, huvunjika guu. 3. Abebwaye hujikaza. 4. Adhabu ya kaburi aijuae maiti. 5. Adui aangukapo, mnyanyue. 6. Adui mpende. 7. Adui wa mtu ni mtu. 8. Afadhali ya Musa kuliko ya Firauna. 9. Ahadi ni deni. 10. Ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke. 11...
  3. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Achari yalisha. The pickle is an appetizer. Pickles make the guest relish the food. (If you need something from someone request for it in a polite and pleasant manner.) Ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo. It is customary for a slave to talk, but a free man acts. (Mja is only used in this...
Back
Top Bottom