Mechi imekwisha, Simba imekufa 1-2 dhidi ya Yanga,
Kiukweli inàuma mechi tano mfululizo za derby Simba hajashinda hata moja, huku akipokea vipigo vitatu na droo mbili(tena zilizokua na faida kwa Yanga)
Turudi kwenye mada.
Simba ilikosa Wachezaji wa kuamua mechi. Kiukweli mechi ya jana ndio...