mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mtanzania ashinda mechi judo kwenye Olimpiki

    Mtanzania Andrew Thomas Mlugu {uzito wa 73kg} ashinda mpambano wa kwanza wa mchezo wa judo katika mashindano ya 33 ya olimpiki ya majira ya joto huko nchini paris baada ya kumtoa mpinzani wake William Tai Tin, kutoka nchini Samoa ambapo aliutawala mchezo mzima leo Julai29, 2024 ...
  2. M

    Wavaa vitenge mmeshamazaliza kucheza na wacheza Amapiano sasa hatutaki visingizio kuwa mlikuwa na uchovu wa preseason siku ya mechi ya ngao ya hisani

    Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani. UBAYA UBWELA
  3. L

    Yanga vs Kaizer Chief ilikuwa mechi ya kuuzia jezi na kuujaza uwanja wa Mkapa trh 4

    Kaizer chief hata Liwale FC hawaifungi, quality ya wachezaji na namna wanavyocheza unaona kabisa pale hakukuwa na ball. Shabiki mmoja tang asbh kashika bango likisema Even Jesus can not save Kaizer Chief. Mmefanikiwa sana, jezi mtauza na uwanja mtajaza trh 4. Fanyeni kila mnaloweza lkn this...
  4. Mechi ya Yanga vs kaiza chiefs, tiketi zote SOLD OUT, wa south wana hamu ya kuitazama Yanga

    Mechi ya Yanga na Kaizer chiefs imevunjwa record ya soccer la south Africa kuuzwa zote kabla ya siku mbili ya mchezo. Unaambiwa mtaani watu wa South Africa wanahamu sana kuitazama team kubwa Africa Young Africans Wanataka wamuone Aziz ki, Chama, mudathir n.k Hii team ya Young Africans...
  5. W

    Kuna ile mechi baada ya kumaliza ugomvi, Oya weee acha kabisa !!

    Baada ya kukuchunia kwa muda mrefu unafanikiwa kumshawishi akusamehe, anaridhia, anakutamkia kwa sauti iliyojaa upole na mahaba "Ila baby usirudie tena" kinachofuata hapo mnaangaliana machoni kwa hisia kali, kiss na mikumbatio ya nguvu, baada ya hapo mnatupana kuingia uwanja wa 6x6, mechi...
  6. Simba kukipiga na El-Qanah ya Misri, Mechi ya kwanza kirafiki hapo kesho 22.07.2024

    Ewe Mpenzi wa Soka na mfuatiliaji wa Timu kubwa Pinzani za Tanzania yaani Simba SC na Young Africans habari hizi zikufikie popopte ulipo. Timu ya Simba iliyopo kwenye maandalizi ya msimu ujao itakipiga na El-Qanah ya Misri ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya kirafiki katika mandalizi ya Msimu...
  7. Wamechelewa kuanza Mazoezi ya Pre Season ila leo wamekipiga kwa Mkaburu, na tuliowatangulia Kutwa tunacheza Mechi Mazoezi tu huko wa Farao

    Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo yamo au ni yale yale ya kuendelea Kuteseka. Sasa katika Mechi Mazoezi hapo Kocha anagundua nini? Hebu...
  8. Ratiba ya mechi za Yanga za kujipima nguvu 2024/2025

    Timu ya Yanga imealikwa nchini Afrika Kusini katika mashindano ya Toyota Cup na TS Galaxy. Mashindano ya TS Galaxy yatarushwa live na kituo cha matangazo cha SABC na mashindano ya Toyota cup yatarushwa live na kituo cha matangazo cha Super sport. Tarehe 20/07/2024 Yanga vs Augsburg Tarehe...
  9. AFCON 2027 : Mechi za ufunguzi na fainali kufanyika Kenya ni failure kwa viongozi Tanzania

    Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika. Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au...
  10. D

    Simba wakifungwa mechi moja tu, wachee na kocha wake wote wataondoka, mwakani wanaanza upya tena

    Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale. Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu inakufa. vita inaanza. mangungu out I always say tatizo la simba ni mashabiki. they have best...
  11. Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  12. Piga kura mechi ya Yanga iliyokusisimua haswa ndani ya msimu wa 2023/2024

    Msimu umetamatika kwa wapenzi wa soka, yapo matukio yanayoumiza na yapo yanayofurahisha. Furaha za matukio huzidiana hivyo ipi kati ya mechi hizi tatu za Yanga ilikufanya uwe na siku bora zaidi kuliko siku zingine zote ndani ya msimu huu wa 2023/2024?
  13. Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

    Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake. ---
  14. Hivi kuna ulazima kwa waamuzi wa kike kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya wanaume nchini, huku na wenyewe wakiwa na Ligi yao?

    Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike wanaochezesha huu mchezo. Imagine JkT inaongoza kwa ushindi wa magoli mawili ugenini; na yote ni ya...
  15. Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

    Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
  16. Script ya makocha wazawa wa Tanzania katika tathimini ya mechi

    Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne. 1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu..... 2. Mpira ni mchezo wa makosa, tumefanya makosa tumeadhibiwa..blah blah 3. Mpira una matokeo matatu... 4. Tunajiandaa kwa mechi ijayo...
  17. Leo rasmi ligi kuu ya NBCPL inamalizika, mechi ipi utaitazama zaidi?

    Ligi kuu ya NBCPL leo rasmi inatamatika kwa kucheza michezo nane na hadi sasa Bingwa ni Yanga lakini tutashuhudia vita vikali vya kumaliza nafasi ya pili ambapo hapa ni Simba sc na Azam fc ambao ndiyo wanao wanao wania nafasi hiyo lakini vita nyingine ni ya mfungaji bora kati ya Aziz Ki wa...
  18. Niliyoyaona Jana kwenye mechi ya Yanga

    Hii ni makala ambayo nitaelezea kidogo yaliyokuepo Jana. Baada ya shamrashamra za kujiandaa kupokea ubingwa ilibidi lipigwe kabumbu Moja matata sana,, kabumbu ambalo lilianza kwa furaha kedekede. Lakini kipindi mchezo unaendelea nyuso za wapenda soka walioipenda young African's zilikosa...
  19. Nilinunua dish la Azam kwa ajili ya mechi za Tanzania na ulaya. Nimeumia sana

    Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City. Nakwenda kung'oa anyltena dish la Azam Asanteni
  20. Kombe wanakabidhiwa baada ya mechi kwa hiyo wamelichukua kabla hawajakabidhiwa? Au wameliiba?

    Hawa makorokwinyo wanaenda kulizungusha kombe lipi? Tff na bodi ya ligi watakabidhi kombe baada ya mechi ,hili ambalo alikamwe anaenda kulizungusha kwa chopa amelitoa wapi kama sio wizi ? Inamaana tff wamekabidhi kombe kabla ya mechi? Ali kamwe atakuwa ameiba pale karume!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…