mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Yanga akishinda mechi zake zijazo ikiwamo ya kimataifa, turarajie kusikia nini kutoka kwao?

    Binafsi najua hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi kwenye mechi za ligi pamoja na ile ya Club Bingwa dhidi ya Al hilal ya Sudan. Swali: Kwakuwa hawa mabwana huwa hawakosi sababu, safari hii tutarajie kusikia nini kutoka kwao? Je, wataendelea kusema GSM ananunua marefa? GSM ananunua...
  2. Mechi ya Yanga vs Tabora imenifanya nitambue jinsi watawala wanavyotumia michezo na burudani kupumbaza jamii

    Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
  3. TFF mulikeni refa wa jana hafai kuchezesha mechi za yanga hakuficha mapenzi yake kwa yanga hadharani!

    Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
  4. Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni

    Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi. Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa...
  5. Tetesi: Kikao cha usiku Gamondi ang'aka awaambia viongozi msimu haujaisha nidhamu na majeruhi ndio chanzo cha kupoteza mechi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi. Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama...
  6. Tetesi: Nasikia Azizi Ki baada ya kufanyiwa sub alipanda gari na kuondoka hata kabla mechi haijaisha

    Hii inatoka kwa rafiki yangu mmoja shabiki wa Yanga lia lia ambae ameumizwa sana na matokeo ya leo utafikiri yeye ndio Injinia Hersi Said. (Anaepaswa kuumia ni Injinia Hersi sio wewe ambae hata Yanga hawakujui wala hunufaiki chochote na Yanga) Jamaa anasema Aziz Ki mara baada ya kufanyiwa...
  7. C

    Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  8. Mjadala wa kina kwanini Yanga amefungwa mechi mbili mfululizo na kucheza chini ya kiwango

    Yanga wanaonekana wana wachezaji wazuri lakini pia wana kocha mzuri. Ni sababu zipi zimepelekea afungwe mechi mbili mfululizo. Alifungwa na Azam goli 1 kwa 0 mechi ya tarehe 2 November 2024. Leo tarehe 7 November 2024 tumeshuhudia Yanga anafungwa goli 3 kwa 0 zidi ya Tabora United. Hili jambo...
  9. E

    Simba tafuteni uwanja wenye taa Kwa mechi za katikati ya wiki

    Hata kule ulaya mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku tofauti na za week end ili kuwapa mashabiki wengi kuburudika.Sasa nyinyi mechi za katikati ya wiki mnacheza saa kumi jioni hii mnapelekea kujipunguzia mapato na kuwanyima burudani mashabiki wengi Kutokana na muda huo kuwa...
  10. Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

    Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara.
  11. U

    Mchezaji kucheza mechi za ushindani siku mfululizo

    Naona kama hili linataka kupita bila kujadiliwa humu na wadau wa soka, sijajua kama limejadiliwa na wachambuzi wetu katika redio zetu za FM. Nasor Saadun alicheza mechi ya ushindani akiwa na Azam dhidi ya Yanga tarehe 2/11/2024, na game ilikuwa ngumu sana. Tarehe 3/11/2024, Nasor Saadun...
  12. Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

    Kwanza poleni sana mashabiki wa nyuma mwiko kwa kipigo ilikuwa ni suala la muda TU, mmebebwa vya kutosha Leo ilikuwa hakuna namna mmegongwa!! Kadi ya Khalid Aucho ( ya njano ) aliyopata Leo ni wazi mechi ijayo hatocheza.....bila kupepesa huyu ni mchezaji muhimu sana kwenye timu yenu pengine...
  13. Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

    Kwanza poleni sana mashabiki wa nyuma mwiko kwa kipigo ilikuwa ni suala la muda TU, mmebebwa vya kutosha Leo ilikuwa hakuna namna mmegongwa!! Kadi ya Khalid Aucho ( ya njano ) aliyopata Leo ni wazi mechi ijayo hatocheza.....bila kupepesa huyu ni mchezaji muhimu sana kwenye timu yenu pengine...
  14. Ali Kamwe Ashindwa Kujieleza Baada ya Mechi ya Yanga na Azam 🤣🤣

    Amesikika akishindwa Kumalizia Sentensi na Kuishia Neno Hatu baada ya Kipigo kizito kutoka kwa Azam.. https://x.com/Roma_Mkatoliki/status/1852758396245799166
  15. Marefa wanawalea sana Khalid Aucho na Mudathiri yahya mechi ya leo haki itendeke!

    Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka, Naiona tabia hiyo ikizidi...
  16. Mechi ya Simba SC dhidi ya JKT Tanzania yaahirisha

    Bodi ya Ligi imeahirisha mechi kati ya Simba SC na JKT Tanzania kufuatia ajali iliyolikumba kikosi cha JKT Tanzania. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 1:00 asubuhi baada ya basi lililowabeba wachezaji na wafanyakazi wa JKT Tanzania kuacha njia na kuanguka mtaroni, na kusababisha majeraha...
  17. Ni kwamba huko Arusha hatutaki Kufunga Kipindi cha Kwanza ili Kuzuga kuwa Mechi ni Ngumu ili tukimalizana nao Kipindi cha Pili ubao usome 9-0 au?

    Kwa Timu yangu ninavyoijua (tena baada ya Kijili hivi majuzi Kuwasaidia) hadi sasa ningekuwa mbele kwa Goli 4 hivi.
  18. U

    Trend Analysis: Utabiri msimamo mechi ya 30 Ligi Kuu

    Kwanza msiogope washabiki wa Mpira, Kuna mahesabu ya Utabiri wa Bingwa wa ligi pamoja na msimamo wa ligi kuu pale itakapofikisha mechi ya 30, mahesabu haya yanafanyika Kwa ligi mbalimbali ikiwemo premier league ya UK. Kulingana na teknolojia ya Artificial intelligence Kwa kutumia trend...
  19. S

    Diarra: Niliuwazia sana ushindi hii mechi

    Diarra alifika DSM masaa 3 kabla ya mechi ya Derby "Rais alinitengenezea mazingira mazuri ya usafiri, sikuchoka na nilipata tiketi ya Business Class Nilivyotua Airport alituma mtu anifuate ili niwahi moja kwa moja uwanjani, Kama kuna siku niliuwazia ushindi basi ni siku ile"
  20. Derby ya Kariakoo ichezeshwe na Marefa kutoka nje

    Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.  Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani. Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…