Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI.
Hawa Wasenge wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho.
No way , potelea mbali !!!.
Mtasubiri sana MAFWELE ajitokeze ila holaaaaaaa !!!
Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati.
Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
Yaan Njia mlioichagua ndio njia yenu, na sisi tutakwenda hivohivo na nyinyi.
Ukweli ni kwamba ni Ama Tuwafikishe katika Sheria au Mtuue wote mtumalize !!.
Na sio upuuzi na upumbavu wenu ulokoswa Aibu na kudhani mnatuhadaa.
Yaan Familia ya Kibao ,Iridhiane na nyinyi kitu gan??
Familia ya...
Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole.
Mafwele kapewa maagizo mazito sana .
Hutaki acha, sitoi codes.
Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya ndo umeshaakuwa utaratibu wa kawaida sasa watu kupotea ipi solution kama sio IGP Wambura kujiuzulu...
Tumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa
Mdude Nyagali
Deusdedith Soka
Chaula
Na wengine wameuawa tayari
Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini
Britanicca
Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote.
Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare...
Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea.
Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya.
Andaeni mabango mpite mbele ya rais...
Hamjambo Wote!
Mwezi septemba unaoanza kesho utakuwa na hekaheka nyingi sana. Mambo mengi makubwa yanatarajiwa kutokea.
Ni mwezi ambao Wagombea na mahasimu wao wanatakiwa kujihami zaidi na kujilinda huku wakifanya mashambulizi ya kushtukiza ya kimkakati.
Wagombea Wapya katika nafasi mpya kama...
Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
Kesi ya Habeaus Corpus iliyofunguliwa na Sije Emmanuel Mbugi, mke wa kada wa Chadema, Mpaluka Mdude Nyagali ilishikilizwa Juni 30 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Mbeya.
Mdude alitekwa nyumbani kwake Mei 2 usiku na watu wasiojulikana, ambapo kabla ya kumchukua walimpiga na kumjeruhi...
Ni muda Sasa kila mtu anaonyesha hisia tofauti tofauti juu ya mke wa mdude na familia yake kwa ujumla !! Pamoja na yote yanayoendelea Bado familia ya huyu kamanda inamahitaji muhimu sana ! Huenda Kuna watoto wanasoma ama huenda Kuna mahitaji ya kifamilia ,badala ya kuendelea kumuonea huruma ya...
Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
Yaan Picha, thamani ya Picha ya MTU Inakua juu ya UHAI wa MTU??.
Yaan Video, video ya magari ya Msafara ,inakua na thamani kushinda Uhai??.
Sasa tumechoka, watanzania wanasimamia na wote wenye kuitetea Haki.
Rais Samia na wengineo wote. Tumechoka!
Yaan Kwa mfano, alochoma picha ya Rais...
Kama mnakumbuka mwanzoni kabisa mwa hili sakata Kuna mtu alikuwa anatoa taarifa kuwa mdude yupo karibu na makazi ya mkuu wa mkoa wa mbeya
Sasa kumbe yeye pamoja wenzake wote inasemekana wamepotezwa ili kupoteza ushahidi wa hii kashifa!!
Dhambi ya kula nyama ya mtu haitamuacha mtu salama police...
Naamini Mdude hakutekwa na "vibaka" wa mtaani! Siyo watu waliokuwa na bifu naye binafsi.
Hisia zangu zinanielekeza kuwa waliomteka huenda walifanya hivyo kwa maelekezo ya wakubwa waliowatuma. Alitekwa ili watu waogope kuongea?
Utekaji huo umewanufaisha watekaji? Mbona kama ndiyo wamezidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.