Mwanachama Mpya wa CCM kamanda Peter Msigwa amemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe wakutane mahakamani
Mbowe alimpa kamanda Peter Msigwa siku 5 za kuomba radhi kufuatia Kashfa mbalimbali alizomzushia
Kamanda Peter Msigwa ameandika Ukurasani X akianza kwa heshima kabisa Mr
Jumaa Mubarak 😀😀😀...
1 Kwamba anaiba pesa za chama kwa kutumia Mbowe Foundation
2. Amegeuza chama kuwa SACCOS yake
3. Chadema digital inamilikiwa na Mbowe kwa manufaa yake
My take: hilo nililitegemea and that is the right way to go!
=====
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za CHADEMA na kuwafanya askari wake kuishi kwa kutanga Tanga muda wote.
Mtumishi huyo wa Mungu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mchungaji peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada mtiifu na Mzalendo kwa chama cha Mapinduzi na ambaye anajutia uamuzi wake wa kupoteza nguvu zake na muda wake wa miaka takriban 20 kuwa ndani ya CHADEMA.
Amsema kuwa CHADEMA ni Sacco's ya mtu ,ambapo...
Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka ambapo yupo Msigwa, Lissu, Lema na Heche kwa sababu ni watu wana uelewa na wanahoji
Amesema Wakati...
Mwanasiasa mkongwe aliyehamia kwenye Chama chetu CCM kutoka CHADEMA hatumwoni kama mwenzetu. Kila akiongea namwona kama hajajua miiko, mtoto unajaa mate, anaropoka tu.
Alivokuwa CHADEMA alikuwa mtu mahiri nondo kweli ila Sasa yupo kama dishi linayumba au amekata tamaa, Makoti hayamtoshi, sare...
Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM
Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa
Naye Kitenge...
Kitendo cha mpinzani kuhamia kwao na muda si mrefu akala teuzi ya maana kabisa chomboni huku wao kama wazawa wakiendelea kuimba na kusifu hua kinawaumiza sana.
Mimi sio nabii ila natabili bwana pasta soon anakula kitengo alafu wakereketwa wataendelea kukerwa wakiwa benchi;
Kila siku kumbuka kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Rais hawezi kukusaliti. Rais ni nchi. Nchi ni Rais.
Urais ndio cheo cha juu cha kisiasa kote Duniani. Hakuna zaidi ya hapo. Chama cha Rais ni nchi yake. Hawezi kuisaliti.
Mwanasiasa yeyote anaweza kuisaliti itikadi ya chama chake cha siasa na...
Desemba 17, 2017
Mh. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini(CHADEMA) amesema kuna watu wanampigiapigia simu na kutaka kumshawishi ahamie chama cha mapinduzi (CCM).
Amesema watu hao wanampigia simu na kumtishia kuwa ni bora achukue hela aweze kujianga na CCM maana 2020 yeye, halima, sugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.