MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
Nimestaajabu kuona mtu mwenye hadhi ya ubunge akijihusisha na matukio yanayofaa kufanywa na mjumbe wa nyumba kumi, huku akijinasibu mitandaoni.
Je, hili ni “funika kombe mwanaharamu apite” au ni dharau kwa wananchi? Je, wabunge mnadhani hatujitambui?
Mbali na nafasi yake ya ubunge, huyo...
Ramadhan Kareem
Mhe. Ghati Zephania Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara anawatakia Waislamu na Wananchi wote wa Mkoa wa Mara Mfungo Mwema wa Ramadhan.
Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa.
Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa wa Tabora.
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Pareso, ambaye pia aligombea Ubunge wa Jimbo la Karatu lakini hakufanikiwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi wa ndani uliompa ushindi Daniel Awaki, ameonesha ukomavu wa kisiasa kwa kupanda jukwaani kwa mara ya pili kumuombea Awaki...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikushinda Jimbo la Segerea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa nguvu yake ya kisiasa, bali kwa sababu ya sintofahamu iliyokuwepo ndani ya vyama vya upinzani vilivyounda umoja wa UKAWA
Kaiza ametoa kauli...
Katika mipasho ya Mama kwa Mpina, alidokeza kwamba wasimteue kugombea ubunge ili yeye amfikirie katika nafasi ya viti maalum vya Wabunge. Wenye akili tunatambua kuwa raisi alikuwa anamtafutia Mpina sehemu ya kumpasua, na Mpina akaingia kwenye kumi na nane zake. Huo mpasho haukuwa tukio la...
Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Njombve Neema Mgaya ametangaza Rasmi kuchukua fomu ya Kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa October 2025.
Neema amesema hayo alipohudhuria baraza la UWT wilaya ya Njombe lililofanyika June 13,2025 mjini Njombe.
Bunge la tanzania ni hatari kwa baadae sababu wapo karibu na hospitali ya vichaa .ambao wao wana bunge vichaa wana mirembe.
hivi hawa wabunge zimo kweli.
Kwa nini: mada hii imetaka kubadilishwa na kuwa kama vpn mods.
Kwani tuna tunga hapa
Mbunge wa Viti Maalumu, Mwakilishi wa Wafanyakazi, Mhe. Janejelly Ntate amewashukuru wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) mkoa wa Dar kwa niaba ya TUGHE - Taifa, kwa kumpa tuzo ya ufanisi na kusema kuwa tuzo hiyo si yake bali ni ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro (CCM), Mhe. Esther Malleko, ametimiza ahadi yake kwa wanawake wa mkoa huo kwa kuwakabidhi jumla ya mashine 169 za kutotolesha vifaranga vya kuku (incubators), zenye thamani ya shilingi milioni 84.5 kwa Kata zote 169 za Mkoa wa Kilimanjaro.
Katika hafla...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa Shilingi 14,700,00 (Milioni 14.7)
Mbunge Kainja amesema kuwa, ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwaka 2023...
Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
Wakuu
Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kujiajiri na kupunguza changamoto ya ajira.
Kituo hicho kipo chini ya Taasisi ya Sigula Wezesha Foundation, ambayo...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza akiwa Kata ya Chang'ombe Wilaya ya Songwe kwenye mkutano wa hadhara amewaasa Wanaume kutokimbia majukumu yao ya kutoa matunzo kwa watoto wao hata kama wameachana na wake au wapenzi wao.
"Wilaya ya Songwe, Rais Samia amefanya kazi...
Wakuu.
Wabunge wa CCM washaanza kutoa siri za kambi
Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa hivi karibuni akiwa nanaongea na wananchi amefichua kuwa aliwahi kushauriwa na kiongozi mmoja wa kisiasa kwamba abadili mbinu zake za kisiasa na kwamba badala ya kuwahudumia wananchi, aweke akiba ya fedha...
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara.
"Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jesca Kishoa, amesema anaunga mkono uteuzi wa Rais Samia Suluhu kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wake umeihakikishia nchi usalama na amani.
Aidha, ameahidi kushirikiana naye ili kuhakikisha anapata ushindi katika uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.