mbunge shabiby

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Mbunge Shabiby kuhusu vigogo wanaokwamisha viwanda vya dawa kujengwa nchini, wananchi wamuunga mkono, watoa neno

    Mbunge wa Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), mheshimiwa Ahmed Shabiby amesema anaweza kuwataja vigogo wanaokwamisha viwanda vya dawa za binadamu kujengwa Tanzania huku akiwaita ni wachawi. Akichangia Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2026-2027 iliyosomwa bungeni jana Mei 12, 2026...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Wananchi wa sasa hivi si wajinga, wanajua kabisa hili jengo ni la fulani, huyu yupo serikalini ni mwizi aliyekubuu

    "Waziri Mkuu umeanza vizuri na tumeona umeita watu wa maadili, watu wa maadili wasiwe wanakuja kwa wabunge, mbunge mimi nakutana na pesa ya serikali wapi?, lakini nyinyi mawaziri na watu wa chini yenu. Kwaiyo kama ni vibaka basi ni huko kwenda chini. Kwaiyo Muheshimiwa waziri Mkuu umeanza vizuri...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shabiby: Mkipewa Uwaziri mnaanza kuweka mipango ya kuwa Rais

    Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.” Amesema hayo katika mkutano na...
  4. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mbunge Shabiby: Wapigaji wameongezeka serikalini, sitasifia kila kitu

    Mbunge wa jimbo la Gairo mh Shabiby, wakati akichangia hotuba ya bajeti kuu amemshukia kama mwewe waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa tabia yake ya kutaka kuwa mzuri kwa kila mtu na kila taasisi imesababisha awe na mipango mingi isiyo na tija kwa taifa ikiwemo hela kutopelekwa kwa wakati kwenye...
Back
Top Bottom