mbozi

The mbozi suckermouth (Chiloglanis mbozi) is a species of upside-down catfish endemic to Tanzania where it occurs in the Lake Rukwa drainage. This species grows to a length of 5.7 centimetres (2.2 in) TL.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Samia Suluhu akataa kuzindua Stendi Kuu mpya ya Mailimoja Kibaha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo. Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
  2. Roving Journalist

    Songwe: Wanawake watishia kufanya mgomo wa kubeba mimba hadi ujenzi wa Zahanati ukamilike Wilayani Mbozi

    Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua. Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
  3. B

    Serikali ya kijiji yajiuzuru CCM yatupiwa lawama kata ya hezya Mbozi

    20 January 2026 Songwe, Tanzania SERIKALI YA KIJIJI YAJIUZURU CCM YATUPIWA LAWAMA KATA YA HEZYA MBOZI https://m.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac Serikali ya Kijiji cha Namwangwa kata ya Hezya wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongzwa na Mwenyekiti JAPHET MBUKWA imeachia Madaraka kwa Madai ya...
  4. JanguKamaJangu

    Serikali ya Kijiji yajiuzulu, wahusika waitupia lawama CCM Kata wa Hezya - Mbozi Mkoani Songwe

    https://www.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac Serikali ya Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongozwa na Mwenyekiti Japhet Mbukwa imeachia madaraka kwa madai ya Mtendaji wa Kata amemkamata na kumshikilia katika ofisi yake kwa madai ya kuwa Mwenyekiti huyo...
  5. DuaZaMama

    TANZIA Diwani mteule wa CCM Kata ya Shiwinga, amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri

    Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi...
  6. amshapopo

    Kiwanda cha kahawa CMS Mbozi hakidhibiti vumbi la pumba za kahawa, NEMC fuatilieni

    Habari, Hiki kiwanda kipo mji wa Mlowo kina husika na kukoboa kahawa ila cha kushangaza hakidhibiti vumbi la pumba ya kahawa lisiende kwenye makazi ya watu. Hali hii imekuwa ni kero kwetu sisi wakazi na kutusababishia vifua vya mara kwa mara. Tunaomba NEMC mfuatilie na mchukue hatua stahiki
  7. L

    TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga. Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi...
  8. Dr Luu

    Kati ya Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni kuna unafuu wa kununua ardhi ya kilimo.

    Habari, Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari...
  9. Just Pray

    Mbozi: Walimu wawataka viongozi wapya CWT kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimia mbili kwenye mishahara yao

    Baadhi ya walimu na Wajumbe wa Chama cha Walimu (CWT), wilayani Mbozi, mkoani Songwe, wameomba viongozi waliochaguliwa kuwaongoza kwa awamu nyingine kuhakikisha wanatetea maslahi yao ikiwa ni pamoja na kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimi mbili ambayo hukatwa kwenye mishahara yao ...
  10. Just Pray

    Vijana 700 wasiojua kusoma na kuandika warudishwa shule, ungekuwa wewe ungeweza?

    Wasiojua kusoma na kuandika zaidi ya vijana 700 ikiwemo watu wenye umri zaidi ya Miaka 17 wakiwa 85 wasiojua kusoma na kuandika katika kijiji cha Ipazya wameandikishwa katika mfumo rasmi na mfumo usio rasmi (MEMKWA) Wilayani Mbozi Mkoani Songwe kuanzia mwezi Januari na Februari kupitia kampeni...
Back
Top Bottom