mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Lissu na Mbowe waking'atuka, CHADEMA itaimarika sana na kuwa chama cha upinzani chenye ushawishi na nguvu sana Tanzania

    CHADEMA iko dhaifu kama ilivyo, na inaendelea kudhoofika, kumong'onyoka na kugawanyika vipande vipande kwa haraka sana, kwa sababu ya manguli hawa wawili waandamizi, kila moja anajigamba kwamba ndie mwenye nguvu zaidi ya mwingine, ama ndie mwenye sauti. Haki ya nafasi au cheo fulani, ushawishi...
  2. JamiiForums Tanzania Sio kwamba Mbowe hajatambua kuwa alishafeli. Ni ile janja ya kuigeuza CHADEMA kitega uchumi ndio inamfanya akomae.

    Kama unaweza kujichotea mabil ya pesa na hakuna mtu wa kuhoji. Kwa nini usiwe mwenyekiti wa kudumu maisha? Hata kama utatambua kuwa kupata hata madiwani na wabunge ni ngumu maaana wananchi walishapuuza chama unachokimiliki kama kuku wa kufuga wa mayai. Unakuwa na kundi dogo kama la akina...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe hapedwi na CCM kwasababu ni CEO mzuri

    Tuache unafiki Mbowe hapedwi na watu wa CCM kwasababu moja tu anajua kuongoza, street smart, haongeki, ana heshimika na anajua kuongoza. Kuna wanasiasa wengi sana ni wazuri wa kuongea tu lakini huwezi kuwapa hata mradi wa kuku.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Join the chain na CHADEMA digital ilikuwa miradi ya Mbowe na Wakenya

    Aliyekuwa Mwanachama, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge kwa kipindi cha miaka 10 kupitia chama hicho ambaye hivi karibuni alirejea Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amemshutumu Mwenyekiti wa Chama hicho...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa Wana CHADEMA; MBOWE anapaswa kupumzika

    Asalaam ndugu zangu!!! Ifahamike;Mimi ni Mwana CHADEMA tena sio Mwana CHADEMA wa kuhamia lahasha!!! Bali ni Mwana CHADEMA wa kuzaliwa…….nimezaliwa nikamkuta mzazi wangu mmoja ni Mwana mageuzi,hivyo nami nikawa Mwana Chama wa hiki Chama kwa kwa Kurithi kutoka kwa Bi’Mkubwa wangu…………Nikienda...
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe must go, hatukutaki!

    Hivi huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku. Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe. Aisee wewe...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini mbowe yuko madarakani muda mrefu? Aachie ngazi nashauri

    Ili chadema ionekane ni chama cha demokrasia nashauri mbowe aachie ngazi. Asigombee tena uenyekiti
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe anatakiwa nyumbani Nshara.

    Leo Freeman Aikael Mbowe akiongozana na Godbless Lema Mwenyekiti anayemaliza muda wake kanda ya Kaskazini pamoja na Catherine Ruge walikuwa na mkutano wa hadhara Kijiji cha Nshara nyumbani kwao Mbowe. Ni kama Amekataliwa kutokana na idadi ndogo ya watu waliojitokeza huku idadi kubwa ikiwa ni...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe ametangaza kujiuzulu kufanya siasa endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo ndani ya mkoa wa Kilimanjaro wenye majimbo tisa (9) ya uchaguzi. Mbowe ametangaza ahadi hiyo Julai...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni ubaguzi, Lissu anachangisha hela apate gari hamhamasishani, dogo kafungwa kule Mbeya familia ya Mbowe inachangisha

    Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya. Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja...
  11. JamiiForums Tanzania Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA, Wajiandae kumpoteza Rose Mayemba

    Salaam Wakuu, Natoa tahadhari kwa Wafusi wa Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA kama walivyofanya kwa Mchungaji Msigwa, Wajiandae kumpoteza Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe Rose Mayemba. Mheshimiwa Rose Mayemba...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mbowe ambayo ameshindwa kuyatekeleza mpaka leo hii

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima mfahamu ya kuwa CCM ndio tumaini la watanzania,ndio chama chenye kuaminika na kuaminiwa na mamilioni ya watanzania,ndio chama kilichobeba matumaini na hatima ya watanzania na Taifa letu,ndio mahali pekee ambako unaweza kukaa na kuishi kwa amani na matumaini...
  13. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Lema wanaunguruma muda huu Kabuku, Tanga

    https://www.youtube.com/watch?v=2mJ3YbfEti0
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe ndio Amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo Odinga, Malema, Tsvangirai(RIP) na wengine wengi.

    Mbowe ndio amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo kwa Raial Odinga kwa ODM au Malema kwa EFF, au ilivyo kuwa kwa Morgan Tsvangirai na mfano mzuri ni huyu mwamba alie mpelekesha vilivyo Mugabe na Baada ya kufa Chama chake kimepotea kabisa. Uzidhanie Raial Odinga akiondoka pale ODM itabakua na nguvu...
  15. JamiiForums Tanzania Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku

    Friends and Our Enemies, Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku zote ambayo makada wengine wamekuwa wanayatoa pindi tuh wanapoamua kumwaga manyanga,siyo mapya...point ni zile zile ..nakumbuka enzi zile tunasoma history swali likija Majibu ni Yale...
  16. JamiiForums Tanzania Je kwa tukio la Msigwa, Lissu ataanza kumuheshimu Mbowe kwa kuipanga Kanda ya Nyasa na kuona mbele?

    Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo? Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Lissu awasusia Ziara Mbowe na Lema

    Kwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ambayo ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara...
  18. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aingia Ngorongoro na kupokelewa Kishujaa

    Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba , Mwamba wa siasa za Africa , Freeman Mbowe ameingia Ngorongoro kwa kishindo na kuhutubia Maelfu ya Wananchi Akihutubia Umati mkubwa wa Wananchi, Mbowe amedai kwamba Chadema iko Tayari kuhakikisha kwamba Haki za Jamii ya kimasai zinalindwa kwa gharama...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wenzako mnapoteza fedha za Chadema kwa kufanya mikutano isiyokuwa na tija

    Nimekusikiliza leo ukiponda nafasi ya ma DC na unapendekeza vyeo hivyo vifutwe, niliposikia ukisema maneno hayo tu sikutaka tena kukusikiliza. Huko mawilayani Wakuu wa Wilaya wana msaada mkubwa kwa wananchi, wananchi wana imani sana na wakuu wa wilaya, wao ndio wanaotuliza mambo ndani ya...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kelele nyingi za rushwa nda ya CHADEMA Lissu afungwa mdomo na Mbowe!

    Pesa haijawahi muacha mtu salama tangu enzi za mitume na manabii pesa ni sabuni ya roho,ukiona mtu anapiga kelele sana kuhusu rushwa hajaunganishwa kwenye mfumo,nani hataki raha toka aanze ni yeye na kupanda punda tu, Sasa kapandishwa chopa anacheeka hatutosikia tena pesa za mama Abduli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…