mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Sylvester Kasulumbai: Mbowe amechoka atolewe tunataka fikra hasa toka kwa vijana

    https://youtu.be/Ps_At3HbjrE?si=ZUrRKKExyS_OxZ_z Mbunge mstaafu wa CHADEMA Maswa anatamani Mbowe awekwe kando ili zipatikane fikra mpya
  2. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la usalama: Hala Hala kabla ya Hatari, "Johh Pambalu aongezewe ulinzi!"

    Wametekwa kina Maria, Kibao, Soka, Kipanya na wengi wengine. Kwa hotuba hii ya John Pambalu: Bila shaka ujumbe utakuwa umewafikia akiwamo mwamba, wazi wazi kuwa: "Pesa kitu gani?" Kwamba, pesa makaratasi! Wanadhibitiwa vipi wasionunulika hawa? Kwani Lissu kushambuliwa suala la kutofika...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

    Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA. Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
  4. JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya Mbowe amtumie clip hii ya kwenye mkutano wa BAVICHA. Mbowe ajitafakari sana!

    Wakuu, Mbowe kama ana akili timamu inabidi mara tu akiona clip angejiuzulu mara moja na kutangaza kutokugombea tena. Unapata wapi nguvu ya kutaka kuingia kwenye box la kura na hali iko kama hivi? Mbowe ajitafakari sana!
  5. JamiiForums Tanzania Mbowe alianzisha CHADEMA akiwa kijana, Lissu alianzisha nini akiwa kijana?

    Tuongee kwa mifano, wewe ulianzisha nini kama hao uliowataja ili tuige?
  6. JamiiForums Tanzania Round hii Pesa itashindwa na wabangaizaji. Lissu ameshamshinda MBOWE

    Mpo salama! Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati. Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine. Round hii, Lisu ambaye ni mbangaizaji anaenda kumbwaga Mbowe pedeshee. Wale wanaoiabudu pesa na kuiona mungu wao...
  7. JamiiForums Tanzania Asante Mbowe, umeongea hoja ambayo nilii-post hapa JF siku kadhaa zilizopita. Wewe umeiweka vizuri zaidi kuliko mimi

    Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu. Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe, CHADEMA kuna biashara gani?

    Ndugu Mwenyekiti, miaka 21 ya kuwa mwenyekiti ni mingi sana, isitoshe umeshafanya mengi mazuri kama Mwenyekiti na kwa sasa hatutarajia jipya lolote kutoka kwako bali tunatamani kukuona unastaafu kwa heshima na kuachia wengine waendeleze guruduma. Pengine Mwenyekiti sasa utuambie CHADEMA kuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya picha ya Mbowe na Lissu : Maria aandika hivi

    Wapendwa ushauri huu 👇🏾 “Siasa usiweke kwa moyo. Weka kwa lungs” 😀😀 Haya msinitafute baadaye na ma presha huko! Siasa za nchi zetu hizi unaweza chizika bure kumbe! Haya muwe na usiku mwema 👊🏽 ............ User mwengine akajibu hivi; Siasa za Africa 🌍 ndivyo zilivyo Wanasiasa wanatofautiana...
  10. JamiiForums Tanzania KOROGWE MJI TUNAKWENDA NA KAMANDA MBOWE

    Utafiti niloufanya katika jmbola KOROGWE MJI ambalo linawajimbe watatu wa mkutano mkuu kati yao wawili wamesema watampigia kura MBOWE
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UCHAGUZI CHADEMA: BAVICHA waelewe bila Maridhiano hata huo Uchaguzi labda usingefanyika, punguzeni Dharau kwa Mbowe

    Nimekwazika sana baada ya kufuatilia Mdahalo wa Wagombea wa BAVICHA kuona wanashambulia Maridhiano kwamba hawakubaliani nayo na mambo mengine ya kijinga waliyoongea kuonyesha upeo mdogo sana wa kuona mambo kwa upana. Kwa wanaoelewa hali ya kisiasa ilipofikia hata Vikao vya ndani vya Chama...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shairi: Mbowe Endelea Kuongoza

    Kwa miaka ishirini na moja, umetutumikia, Katika dhoruba na mawimbi, haukutetereka, CHADEMA umekijenga, ukakifanya ngome, Freeman Mbowe, bado tunahitaji huduma zako. Busara zako ni taa, zinazoongoza njia, Uadilifu wako ni chemchemi ya tumaini, Kwa haki na usawa, umetufunza kupigania, Mbowe...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu akikutana na Mbowe huangalia chini?

    Zipo picha kadhaa ila hii ni kielelezo tosha.
  14. JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa kumtaka Mbowe apumzike

    https://youtu.be/wotqcW18b80?si=NFAt1ArFxLTbV80L Wakuu, Mbowe kachokwa na Wanachama na Watanzania kwa ujumla, sijui ni kwanini hasomi alama za nyakati?. https://youtube.com/shorts/N_2vsS8I9r0?si=zsAT7UMXzF9JhWzB
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

    Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kambi ya Tundu Lissu, lianzisheni sasa kumkomboa Dr Slaa, maana mnadai kuwa Mbowe siyo "aggressive"

    Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera. Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani. Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

    MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo. Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hili heche sio sawa kumvunjia heshima Mbowe

    Ktk X account yake ameandika karibu chairman katika picha hii. Hii ni utovu wa nidhamu mkubwa ktk siasa Sasa Mbowe utamwita nani? Wakati yeye ndio chairman? Chama chenye dola kama CCM unaweza kuandika hivi? Ushauri Mitandao ya kijaamii yasikuvimbishe kichwa, utapotea ktk siasa za upinzani mpaka...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mazungumzo ya Jana ya mbowe clouds TV, mbowe amegeuza upepo, ushindi kwake ni dhahiri

    Wenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati ulifika chadema ikawa chungu, na wale majasiri njaa wakapatwa na woga mkali wakaona wayaokoe maisha...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe usihangaike na Dr. Slaa huko lupango mwache ahangaike na hali yake mwenyewe

    Dr. Slaa amekuwa mropokaji kama Lissu na pia hana shukrani yoyote kwa Mbowe na CHAMA. Mheshimiwa Mbowe usipoteze muda na fedha zako kwa hawa watu tena waache wajipambanie wenyewe. Umekuwa muungwana mno kwao sasa wanakuona mjinga. Waache wapambane na hali zao!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…