mbezi mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

    Kila siku najiuliza kwanini hawa Tanroad wanafanya vitu kwa kubashiri sana.. Huwa nikipita pale mbezi mwisho naumia sana wanavyo lichezea lile eneo. Kama ni Mhandisi usipite pale unaweza zimia kwa vituko tanroad wanatufanyia. Design za barabara (highway) nyingi zinaeleweka, kwanini kujifanya...
  2. The bump

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mwanamke, eneo Mbezi Mwisho...

    Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
  3. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Kero: Msongamano wa vibanda vya machinga Mbezi Mwisho unaziba maeneo ya waenda kwa miguu

    Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto. PICHA: SABATO KASIKA Chanzo: Nipashe.
Back
Top Bottom