Habari wana jukwaa, kwa wakazi wa Mbeya mjini wenye uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo, mizigo kama furniture, gunia za mahindi n.k. kwa hapa hapa mbeya mjini na pia kuelekea Mkoa wa Songwe hapo chini tu, ningependa kuwakaribisha.
Gharama zetu ni nafuu na rafiki, wasiliana nami...
Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi
Usipange kukosa kufuatilia
Mtaarifu mwenzako
Wakuu poleni na janga la moto Kariakoo. Janga hilo limenikumbusha kuungua kwa soko kuu la mjini kati Mbeya. Ni kama miaka 10 hivi imepita toka liungue. Kwanini hadi leo halijajengwa?
Kweli kwenye baraza la jiji hakuna mwenye akili akaona huo ni uzembe wa hali ya juu? Kama soko limeungua si...
Kutokana na utitiri wa vyuo hivi, je unaona kuna fursa ipi ya biashara.
Vyuo hivi hapa
CHUO - SEHEMU
MUST - Iyunga
MCHAS (Tawi la UDSM) - Mjini
TIA - Airport ya zamani
MZUMBE - Foresti
SAUT - Foresti
UTUMISHI (tpsc) - soko matola
ADEM - Foresti
UCC (Tawi la UDSM) - uzunguni
CBE – Mjini
TEKU -...
Waswahili wanasema ukizoea vya kunyonga basi siku ukiambiwa kuchinja utaona unaonewa.
Sisi wananchi wa Mbeya hatujawahi kuikubali CCM tangu tulipopatiwa option ya nini cha kuchagua kati ya chama cha viongozi na chama cha watawala.
Tulia jitazame na ujitafakali kwa hiyo nafasi yako ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.