mbena

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Leo katika historia, Mashindano ya pombe kati ya Wahehe na Wabena yalifutwa baada ya muonjaji kumaliza pombe yote

    Hapo zamani za kale, Wahehe na Wabena waliandaa mashindano ya unywaji wa pombe kali. Wiki moja kabla ya mashindano, Wabena waliamua kutuma wajumbe wao kwenda kwa Wahehe kuthibitisha kama kila kitu kiko sawa. Kama zawadi ya awali, walileta lita 5 za pombe yao iliyotengenezwa na wataalam kwa...
  2. Inside10

    Papa Leo XIV amteua Padri Monsinyori Romanus Mbena kuwa mkuu wa huduma ya Upendo Vatican

    Baba Mtakatifu Leo XIV amemteuwa mtanzania Monsinyori Romanus Mbena kuwa ni Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Kipapa la Huduma ya Upendo, ambaye hadi kuteuliwa kwake amekuwa akihudumu kama Afisa Mshauri wa Balozi za Vatican ngazi ya kwanza na Mhudumu katika masuala ya jumla kwenye Sekretarieti kuu ya...
  3. A

    Mchumba "MKE" - Mchaga, Msukuma au Mhehe / Mbena

    Habarini ndugu zangu 🙏 Tafadhali rejea: MWANZO 24: 1 - 51. WAEFESO 5: 22-33. Naamini Mungu ni mwema wakati wote. Mwenye UHITAJI lakini pia mwenye sifa nilizotaja hapo juu na mwenye hekima na busara anakaribishwa.
  4. Superbug

    TANZIA MOZART MBENA AMEFARIKI DUNIA. ALIKUWA DJ MAARUFU MBEYA.

    Aliyekuwa mjumbe wa magroup ya whasap ya globify na dj maarufu mbeya amefariki jana jijini mbeya ndugu Mozart Mbena Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele poleni sana wana Mbeya. Kwaheri rafiki ! Tutaonana baadae.
  5. Katkit

    Msaada wa historia ya maisha na kifo cha "Mbena Malumbi" kama sijakosea jina lake

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo. Kwa kipindi nilichokaa Morogoro nilipata kusikia kwa kifupi taarifa kuhusu Mbena Malumbi na pia kuoneshwa baadhi ya zilizokua mali zake. Hivyo, nimekuja kwenu kuwaomba mnijuze kwa mawanda mapana kuhusu bwana huyo.
Back
Top Bottom