mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

    Wakati sintofahamu ya uanafunzi wa mtoto mzur Paula bado ikiwa imepamba Moto , nyota wa Bongo Fleva anayeikamatilia YouTube. Kwa sasa Rayvanny mnyakyusa kupitia ukurasa wake wa Instagram amempost mpenzi wake huyo wakila bata maeneo ya watu wazito ....
  2. JamiiForums Tanzania Paula wa Kajala athibitisha yupo kwenye penzi zito na Rayvanny mtu mbaya

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtoto mzuri , mwenye umbo matata na mwenye asili ya kimamtoni Paula wa Kajala amethibitisha kuwa sasa yupo kwenye penzi zito na nyota wa bongo fleva ambaye pia ni mmiliki wa label ya Next level music anayetamba na kibao chake cha KELEBE alicho mshirikisha...
  3. JamiiForums Tanzania Experience yangu mbaya na gari za Toyota

    Katika kufanya diagnosis na kurekebisha matatizo mbali mbali kwenye magari. Asilimia kubwa ya gari nilizokutana nazo ni gari za japan mathalani gari za toyota japo nishakutana pia na gari za ulaya kama BMW, Land Rover na VW na gari za US kama Jeep na Ford. Experience yangu mbaya kwenye kufanya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Njaa mbaya sana; Ni jambo gani la hatari uliwahi fanya ulipokumbwa na njaa?

    Njaa inaweza kumfanya mtu afanye jambo la ajabu sana! Tena usiombe upatwe na njaa ikiwa unga umeisha, mafuta yameisha, gesi imeisha, luku imekata n.k Hakika kuna uchizi huwa unaingia ghafla hata usijue cha kufanya. Njaa huifanya akili ifanye kazi kwa speed kubwa halafu isipate majibu sahihi...
  5. JamiiForums Tanzania Taifa letu lina bahati mbaya sana, mwaka 1984 yalitukumba pia

    Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu. Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro. Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ukipata matatizo watu wakafanya sherehe bila kuwepo wanaosikitika na wewe Basi una roho mbaya na katili

    Paul Makonda toka ametumbuliwa hakuna mtu aliyewahi kujitokedha adharani kusikitika kuondoka kwake, hata Wana CCM wa ngazi zote hawakuwahi kusikitika naye si mitandaoni Wala adharani. Huyu mtu ana roho mbaya na si mtendaji wakikabidhiwa watu aongozi. Ole Sabaya ametumbuliwa leo hadi Bukoba...
  7. JamiiForums Tanzania Muda wa kulipwa kwa madeni ya Watumishi wa Serikalini

    Habari zenu wanajamii Naomba mnisaidie kitu kimoja. Mimi kwa bahati mbaya mama yangu mzazi alifariki tangu 2016 na alikuwa mtumishi wa Serikali. Amefariki akiwa anaidai Serikali malimbikizo ya mshahara.Sasa mimi nimeamua kufuatilia hayo madeni tangu mwezi wa pili pale ofisini kwake Sasa...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

    Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zinapitia upepo mbaya sana

    Ukiangalia mwenendo wa uchangiaji wa hoja humu ndani ni vigumu sana kupambanua kama mchangiaji ameegemea mrengo gani wa kisiasa yaani kaegemea upinzani ama ccm. Tungekua na magenious ya game za kisiasa basi huu ndio uliokua muda muafaka kujijenga na kutengeneza mkondo mpya. Na nikiri kwamba...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida, rais wa Chad aliuawa na Waasi

    Hakika hayati magufuli atazidi kukumbukwa vizazi na vizazi kwa maneno yake yenye maono alikuwa mara nyingi kwenye hotuba zake anasema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana kuliko vita vingine vya kawaida" hii kauli nimeitafakari sana baada ya kuona yaliyotokea nchi ya chadi juzi kiongozi wao...
  11. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

    Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo. Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kuna foleni mbaya mida ya jioni zaidi ya hii ya Airport hapa duniani?

    Sikuwahi kudhani kama hapa duniani panaweza pakawa na sehemu yenye foleni ya kikatili namna hii, masaa mtu hujasogea??!!!!
  13. JamiiForums Tanzania Paula wa Kajala apost picha Snapchat akiwa amemkumbatia Rayvanny Mtu mbaya

    Huku penzi lao likiwa limeghubikwa na mikiki mikiki ya hapa na pale hata hivyo mwanadada huyo aisyeishiwa na vimbwanga ameonyesha kuwa yupo pamoja na Rayvann Kwa shida na Raha ..... Kupitia mtandao wa Snapchat Paula alipost picha akiwa ameibusu nguo inayodaiwa ni ya Rayvann na kuandika...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Prominent COVID conspiracy theorist dies of virus

    Mabibi na mabwana yamesemwa mengi na hata yamerushwa matusi mengi. Uzuri ni kuwa wapigania haki za watu kuishi hawana tuzo wala utambulisho wanaotaka kibinafsi hapa duniani wala huko juu mbinguni. Hapa yupo mwingine alikuwa mshupavu kweri kweri: Wajameni haka kaugonjwa kana tabia mbaya ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kisiasa waliokulia kwenye maisha ya kimaskini wana roho mbaya sana tofauti na wale wa maisha mazuri?

    Jaribu kufanya utafiti utagundua wanasiasa viongozi waliotoka familia maskini au kwenye uzururaji wanakuwaga na roho mbaya zaidi ya shetani. Mfano ni Idd Amin aliyeokotwa mtaani na kuingizwa jeshini. Lakini wale waliokulia kwenye maisha mazuri na roho zao huwa nzuri tu mfano akina Makongoro...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

    Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja, ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka nifanye hivyo kwa wao kama wao tena waking'ang'ania kabisa na bado nilikataa, Nilikuwa najiuliza sana...
  17. JamiiForums Tanzania Wimbi la makundi ya nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua vinamaanisha kuwa mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula

    Shirika la kimataifa la misaada ya kibinaadamu limesema katika msimu huu mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula cha kutosha kufuatiwa na wimbi kubwa la nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua. Shirika la Save the Children limesema, mimea na mazao ya mboga mboga...
  18. JamiiForums Tanzania Unamjua mdudu (malware) mbaya zaidi katika chombo chako cha mawasiliano?

    Habari zenu wanajukwaa, poleni na pilikapilika za hapa na pale za kutafuta mkate wa kila siku. bila kupoteza muda niende kwenye mada. vifaa vyetu vya mawasiliano vinaweza kukabiliwa na malware mbalimbali ikiwa hatutakuwa makini katika mambo ya usalama katika matumizi ya vifaa vya mawasiliano...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu ukweli - Mawaziri na Wabunge wa CCM wa awamu ya tano walikuwa na roho mbaya kwa watumishi wa umma!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  20. JamiiForums Tanzania Mtawala azibaye midomo ya watu ni mbaya kama shetani

    MTAWALA AZIBAYE MIDOMO WATU NI MBAYA KAMA SHETANI Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mtu yeyote anayependa kuziba watu midomo wasimseme jua huyo ni kama shetani, hivyo ndivyo andiko hili ninavyoanza nalo. Shetani ndio anapenda mambo ya sirini, kuficha ficha, kuziba watu midomo wasiseme mabaya yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…