Mwaka huu huwenda ukawa ni mwaka mgumu sana kutekeleza haki zetu za kikatiba za mwananchi kwenda kupiga kura
Nchi nzima imetaharuki, sijawahi kuona wanajeshi na majeshi mengine kufanya mazoezi kama ilivyo sasa tena tu ni kwa ajili ya uchaguzi
Ukweli ni kuwa, magwanda ya wenzetu hawa...
Wakuu naona hizi taarifa zimekuwa nyingi sana haswa kipindi hiki. Je ni mkakati wa kuwatisha wananchi? ama lengo la kinachotafutwa ni nini haswa?
Pia soma
GE2025 - Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Katavi vyashiriki mazoezi ya pamoja
GE2025 - Majeshi nchini waendelea na mazoezi ya pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.