maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vikwazo kwa Wafugaji wa Ng'ombe wa Maziwa kunna mahala tunakosea!!

    Nimejaribu kufuatilia video hii aiseh inatia uchungu sana. Ila nadhani lengo la huyu kwenye video hii lilikuwa ni kuonesha namna ambavyo ufugaji unakumbwa na vikwazo. Tunatakiwa kuangalia namna ya kutengeneza mazingira rafiki kwa wafugaji. Inaumiza lakini hasa ndio maisha hamna namna
  2. Natafuta mahali ninapoweza kujifunza usindikaji wa maziwa na bidhaa zake

    Salamu!! Jamani natafuta mahali au chuo au hata mtu binafsi anaweza kunifundisha namna ya kusindika maziwa. Nimejaribu SIDO wanasema wao wanafundisha usindikaji wa vyakula na milolongo kibao na procedures za kufa mtu. Kupitia jukwaa hili nisaidieni jamani anayefahamu mahali au mtu binafsi au...
  3. Naomba kuja kuhusu soko la maziwa ya mbuzi

    Nawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba kuuliza juu ya soko la maziwa ya Mbuzi likoje maana nataka kuanzisha huo ufugaji wa hao Mbuzi wa maziwa.
  4. INAUZWA Ninauza Maziwa ya ngombe wa kisasa

    Habari wana Jf na wakazi wa Dodoma.! Ninauza Maziwa ya ngombe wa kisasa, Tsh. 2000/= @ 1 litre Monthly Bills na Discount Kwa Maziwa mengi inapatikana. LOCATION: Dodoma Mjini Info; PM Natanguliza Shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…