mayai ya kisasa

  1. Selemani Sele

    Mayai ya kisasa yenye kiini cha rangi ya chungwa (orange)

    Sisi watoto wa Dar,Mabachelor Mlo wetu main ni Ugali na Mboga Ya Mayai. Na kama ilivyozoeleka Yai kiini chake ni cha Njano ila Tangia Juzi nikinunua Mayai kiini ni cha Rangi ya Chungwa (Orange) na halina Shombo hata Kidogo nawaza haya mayai ya nini au Tuhamie Kwenye Kienyeji,
  2. Bi zandile

    Upendo Nkone: Mayai ya kisasa yanaongeza matiti kwa wanaume

    Muimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone, ametoa angalizo kwa wazazi kuhusu ulaji wa mayai ya kuku wa kisasa kwa kudai kuwa yanaongeza ukuaji wa matiti kwa watoto wa kiume. Muimbaji huyo aliandika ujumbe huo kupitia akaunti yake ya Instagram akisema..''Jamani wazazi natoa ushauri tuu kwamba...
  3. dimple

    Nina mayai ya kisasa tray 600

    Habari nauza mayai ya kisasa natoa kwa tray tsh.6000 size ya kati na 6500 makubwa.nipo dar es salam mbezi mwisho magoe. Namba ni 0739332033
  4. L

    Nauza mayai ya Kisasa

    Habari nauza mayai ya kisasa natoa kwa tray tsh.6000 size ya kati na 6500 makubwa.nipo dar es salam mbezi mwisho magoe. Namba ni 0739332033
  5. The ice breaker

    Natafuta tender ya ku supply mayai ya kisasa

    Wakuu habari. Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla. Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale. Naweza ku supply Kwa idadi yoyote utakayo hitaji.. Ofisi ipo mbezi malamba mawili, Dar es salaam, kama upo Dar nafanya free...
  6. The ice breaker

    Nauza mayai ya kisasa

    Wakuu habari Nauza mayai ya kisasa Kwa bei ya jumla . Napatikana , dar es salaam kigamboni, hata ukiwa mkoani naweza kukutumia mzigo na unafika salama kabisa Kama upo dar , nafanya free delivery, nakuletea mpka ulipo. Bei Huwa inabadilika badilika , ila Kwa bei ya Leo ni 8000 Kwa trei...
  7. emmarki

    Nani supplier mkubwa wa mayai ya kisasa dar

    Nahitaji kufanya biashara ya mayai, nani supplier au mzalishaji mkubwa. Niko dar
  8. ndege JOHN

    Kipi kinakufanya utumie mayai ya kisasa na sio ya kienyeji?

    Kwa wale watumiaji wa mayai Kwa lengo la kupata protein wameshasikia mengi kuhusu tetesi za madhara ya mayai ya kisasa na hata Wataalamu wa Lishe wanakiri ya kuku wa kienyeji ni bora zaidi. Lakini nyumba nyingi na maduka mengi utakuta tray za mayai ya kisasa ni mengi zaidi na biashara yake...
  9. Spacefox

    Gumzo: Mayai ya kisasa yana manufaa kwa afya ya mtumiaji?

    Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavo someka hapo juu. Siku hizi kumekuwa na matumizi makubwa sana ya hii bidhaa. Ila kutokana na jinsi yanavyo zalishwa nimepata kigugumizi kidogo kuhusu lishe tunayopata kutokana na matumizi ya hayo mayai. Sasa je kuna Nutrient zozote kweli au ni...
  10. Ngatunga1

    Natafuta Mayai ya kisasa

    Nahitaji mfugaji anayeweza kuzalisha mayai zaidi ya trei 100 kwa wiki. Nanunua trei 100 kila wiki. Bei isizidi 6000/= kwa trei moja. Mawasiliano:call/whatsapp 0674574112. Email: ngatungaa37@gmail.com
  11. Organic mts garden

    Mayai ya kisasa yanapatikana Oysterbay, Dar es Salaam

    Kiini cha njano,kuku wanapewa majani kila siku, hatutumii carophyl yellow kuongeza unjano Bei ya elfu 6800(kuanzia trei 10) Oysterbay karibu na ccbrt 0738832076 Bei inapanda na kushuka,kwa hiyo inapobadilika nabadilisha pia katika tangazo humu...hakuna sehemu ya ku edit title ya tangazo.
  12. Extrovert

    Mnanunuaje mayai huko Dodoma? Bei ya mayai ya kisasa

    Wakuu kwema, Niko interested kujua bei ya mayai ya kisasa hapo Dodoma ikoje? Huwa inapanda na kushuka? Je, ceiling price na floor price za hayo mayai zikoje?
  13. Political stability

    Natafuta mayai ya kisasa

    Natafuta mfugaji, anae uza mayai ya kisasa, kwa bei ya jumla, Mimi nipo Dar, Kimara. Nicheki WhatsApp 0654171555
  14. N

    Nahitaji mayai ya kisasa kwa bei ya jumla

    Habari, Nahitaji mtu ambaye anauza mayai kwa Bei ya jumla. Nipo Dar es salaam. Nahitaji kufungua duka la mayai
  15. B

    Natafuta mtu anayeuza mayai ya kisasa kwa Dar es Salaam

    Habari ndugu zangu.. Kama kuna mtu anauza mayai ya kuku wa kisasa na yupo Dar naomba tuwasiliane. Nahitaji tray zaidi ya 300.. Nitafurahi sana kama nitapata fursa ya kukutana na huyo mtu
Back
Top Bottom