Natafuta sana contacts za viwanda vya mafuta ya mawese, kama nikipata vile viwanda vikubwa vyenye uwezo mkubwa itakuwa vizuri zaidi, hasa nataka wanaotengeneza refined yellow palm oil.
Asante
Pikipiki huwa na matumizi mengi sio kubeba abiria tu hata kufanya kazi zingine pia ikiwemo kulima.
Huyu mwamba anaitumia kukamulia michikichi ili apate mafuta ya mawese.
Huitaji kwenda Veta.
Nimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito.
Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe.
Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.