mavunde

Anthony Peter Mavunde (born 2 March 1984) is a Tanzanian politician who has been a member of the ruling party CCM since 2006. He is the current Deputy Minister for Agriculture and a Member of Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  2. PostGE2025 Mavunde agawa Kompyuta Mpakato 110 jimboni kwake

    Mbunge wa Jimbo la Mtumba mkoani Dodoma Mhe Anthony Mavunde leo ametimiza ahadi yake ya kugawa Photocopy Machines 20 kila kata,Kompyuta Mpakato (𝙇𝙖𝙥𝙩𝙤𝙥𝙨) 110 kwa Maafisa Elimu Kata,Walimu wakuu na Wakuu wa Shule zote za Msingi na Sekondari za Jimbo la Mtumba. Mhe Mavunde amesema dhamira kuu ya...
  3. GE2025 Mavunde: Sekta ya madini ya dhahabu, inachangia asilimia 30 ya maduhuli ya serikali

    "Ndugu Mgombea Urais nyumbani kwako ni Kizimkazi na dhahabu nyumbani kwao ni Geita. Katika maduhuli ya serikali ya shilingi trilioni moja tunayoyakusanya asilimia 30 inatoka Mkoa wa Geita na ulitoa maelekezo katika Mkoa wetu tutoe leseni kwa wanawake, Vijana na wenye ulemavu na wapo akinamama...
  4. Mavunde: Tusiichezee amani, ni jambo la kudumu

    Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Peter Mavunde ametoa wito kwa watanzania wote kuitunza amani iliyopo, na kutotumia sababu za muda mfupi kuvuruga amani ambayo ni jambo la kudumu. "Tukumbuka maneno ya Baba wa Taifa aliyowahi kusema, tusitumie sababu za muda mfupi...
  5. GE2025 Mavunde: Kura ya ndiyo kwa Samia ndiyo mwendelezo wa mambo mazuri tuliyoanza kuyaona Mtumba

    Mgombea Ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuhakikisha wanampigia kura, mgombea urais kupitia chama hicho, Samia Suluhu Hassan ili kumwezesha kuendelea kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisema ndiye...
  6. A

    Hon. Minister Anthony Mavunde.

    Mheshimiwa Anthony Mavunde, Nitumie nafasi hii kukupa salamu na pongezi kwa jitihada zako kubwa katika kuimarisha maisha ya vijana wa Dodoma kupitia nafasi yako ya uongozi. Mimi ni kijana mkazi wa Dodoma, mjasiriamali, na mshiriki wa mashindano ya Mavunde Cup. Hata hivyo, kuna jambo ambalo...
  7. Hivi Antony Mavunde huwa ana nafasi gani pale Yanga?

    Habari mwana jukwaa la sport. Nilikua nasoma farewell ya Aucho aliyowaandikia Yanga..nilivyofika sehemu anatoa pongezi nikakutana na jina la Antony Mavunde. Na hii si mara ya kwanza huyu jamaa kutajwa na wachezaji wa Yanga nishamuona sana Aziz akimtaja na ku dedicate magoli kwake yani unaona...
  8. Waziri Mavunde: Serikali Inakuja na Mkakati wa Kuwawezesha Wazalishaji Chumvi Nchini

    Katika kuwajengea uwezo wazalishaji wa chimvi nchini,Serikali imekuja na mikakati mbalimbali kufikia azma hiyo ikiwemo upunguzaji wa ada ya pango kwa mwaka ya leseni (Annual Rent) za uchimbaji mdogo wa chumvi nchini ili kusaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuchochea uzalishaji wa wingi wa...
  9. Mavunde Azindua SACCOS ya Waendesha Pikipiki na Bajaji Dodoma

    MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJ DODOMA. ▪️Atoa rai SACCOS kuwainua Vijana kupitia mkopo wa Asilimia 10 ▪️Ataka Vijana wamiliki vyombo vyao vya usafiri ▪️Wampongeza Rais Samia kwa ujenzi wa ofisi ya Waendesha Pikipiki na Bajaj Dodoma(UMAPIDO) Dodoma Mbunge wa Jimbo la...
  10. PreGE2025 Mavunde akabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge

    Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge lengo ikiwa ni kuendelea kuwasaidia wanafunzi hao kuendelea kupata huduma ya umeme na maji pindi umeme unapokatika. Mavunde akizungumza baada ya...
  11. Waziri Mavunde Aongoza Kikoa cha Kimkakati wa Kiuchumi wa Nchi Kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)

    WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) ▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi kupitia uwekezaji Mkubwa wa STAMICO ▪️STAMICO kuweka nguvu kubwa katika madini mkakati na adimu...
  12. W

    Waziri Mavunde azindua mradi wa matumizi ya umeme wa jua mgodini igunga- Tabora

    Imeelezwa kuwa mradi unaotumia teknojia ya kisasa ya uzalishaji umeme wa jua ni mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kwa kupunguza gharama za uzalishaji kwa zaidi ya asilimia 65. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo Mei 18, 2025 wakati akizindua mradi wa...
  13. PreGE2025 Mavunde kuwania ubunge jimbo jipya la Mtumba, atoa sababu tatu za kuiacha Dodoma mjini

    Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde ametangaza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 atagombea tena ubunge katika Jimbo jipya la Mtumba, akianisha sababu tatu za kuiacha Dodoma Mjini. Uamuzi huo ameutangaza huku akilia kuwa hakuna namna na hawezi kujigawa katika maeneo mawili akabaki...
  14. Mbunge Mavunde awataka Machinga Dodoma kuchangamkia Mkopo wa Bilioni 7 za Jiji

    Umoja wa Wanawake Machinga Dodoma(UWAMADO) wamempongeza, Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa ujenzi wa soko la kisasa la Machinga Complex na miundombinu ya kisasa ya soko hilo ambalo ni la kipekee nchini. Hayo yamesemwa jana wakati wa uzinduzi wa chama cha UWAMADO uliofanyika kwenye eneo la soko la...
  15. W

    Waziri Mavunde azindua taarifa ya chambuzi uongezaji thamani Madini muhimu Tanzania

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuwa, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuelekea mageuzi ya kweli ya Sekta ya Madini hapa nchini kwa kuanza rasmi mkakati wa kuongeza thamani ya madini muhimu yanayopatikana nchini. Alieleza hayo Mei 8, 2025 wakati...
  16. W

    Waziri Mavunde amzawadia mwandishi bora sekta ya madini leseni ya utafiti

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amemkabidhi Mwandishi Bora wa Sekta ya Madini, Dotto Dosca, wa Malunde Blog, Leseni ya Utafiti wa Madini yenye ukubwa wa kilomita za mraba 20 katika hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards zilizofanyika Mei 05, 2025 jijini Dar es Salaam, ambapo Rais wa...
  17. W

    Waziri Mavunde atangaza kiama kwa kampuni 95 za uchimbaji madini

    SERIKALI imetoa Hati za Makosa kwa Kampuni 95 za Uchimbaji Mkubwa na wa Kati wa Madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kukiuka masharti ya Leseni kama yalivyoainishwa kwenye Sheria ya Madini. Akizungumza leo Mei 6, 2025 jijiini Dar es Salaam, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
  18. Mavunde: Tutazifutia leseni kampuni 95 za uchimbaji zilizoshindwa kuendeleza maeneo waliyopewa na Serikali

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa agizo kwa makampuni ya uchimbaji takribani 95 ambayo yamepewa leseni za uchimbaji lakini bado yanaendelea kusuasua kuaza uchimbaji. Akizungumzia suala hilo Mei 6, 2025 bila kutaja majina ya wawekezaji hao, Mavunde amesema kwamba wameainisha makampuni...
  19. W

    Waziri mavunde azindua mradi wa kihistoria wa vijana Nyamongo-Tarime

    Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua mradi wa uchimbaji Madini ya dhahabu kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu kwa kutoa leseni za uchimbaji mdogo wa madini ikiwa ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow (MBT). Amezindua mradi huo leo Mei 03, 2025 katika viwanja vya...
  20. Waziri Mavunde Azindua Mradi wa Kihistoria wa Vijana Nyamongo - Tarime

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MRADI WA KIHISTORIA WA VIJANA NYAMONGO-TARIME ▪️Agawa Leseni za madini awamu ya kwanza kwa Vijana 2000 ▪️Ni utekelezaji wa Maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia ▪️Aupongeza mgodi wa Barrick North Mara kwa kutoa Leseni kwa Vijana wa Vijiji 13 ▪️Benki ya Dunia(WB) na Baraza la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…