Huyu Afisa Mauzo wa METL pale Liberty Mwanza ni hovyo kabisa. Asubuhi wateja wakienda kununua mzigo unamkuta anavuta sigara na kutafuna ugoro, anamajibu ya hovyo hovyo tu kwa wateja na kiburi juu, bahati yao hakuna sehemu nyingine ya kupatia mzigo tungeshawahama.
Ujumbe huu uwafikie wahusika wa...