Hebu tusemezane kidogo na haswa wanaume, inabidi tujiulize na kutafakari, katika matukio ya ukatili katika ndoa kuna takwimu zozote za ukatili wa kuuwana kwa watu waliopo kwenye ndoa ya wake wengi?
Mfano labda kuna mtu yeyote amewahi kumsikia mtu mwenye wake wengi analalamika kunyimwa unyumba...
Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume...
Serikali mnaona watu wanavyo uha?
Tanzania ya Nyerere sio hii ya leo,
Mbona mmewapa watanzania silaha wajane?
Nini kinaendelea?
Samia Samia watanzania wauana wts wrong?
Hasira dhidi ya wote walioshiriki na hata walioshabikia umwagaji damu siku za Uchaguzi alimaarufu Mo29 bado ingali ikigonga mioyo ya watu wengi nchini!
Kwa mazingira ya kibinadamu, kwa namna yoyote ile, huwezi kufurahishwa na jambo hilo ovu.
Kwenye vitabu vitakatifu, vyote vinapinga vikali na...
Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito.
kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
Rais ni mfanya kazi za ndani wa muda na sio mmiliki wa nchi hii, samia na genge lake wanajaribu kutaka kuiteka nchi kwa mauwaji na utekaji wa raia.
Lazima ujiulize kwanini wanateka na kuuwa watu na kukamata watu hovyo hovyo. Hatutaki kumilikiwa sisi ni watu huru.
vyama vya siasa sijui watu...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha.
Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji.
Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya.
Aidha wauwaji na watekaji lazima wawajibishwe kwa matendo yao wameuwa watu wengi sana makusudi kisha wanatengeza vikundi vya watu wenye tabia za kimalaya kuja kutuambia nchi ina amani...
Ndugu zangu, mnifundishe mwenzenu, Naanzaje kumpenda mtu aliyeruhusu mauwaji ya kikatili kiasi kile?
Nimepoteza ndugu zangu wanne katika tukio la maandamano ya 29 October 2015 ya kupinga uchaguzi usio na usawa kwa vyama vilivyopo hususani vya upinzani
Mgawanyiko uliopo kati ya walioumizwa na...
Ngoja niwaambieni ukwel hawa Abdul na samia na kikwete kwamba lazima watakwenda jela kwa matendo yao ya mauwaji hawa tupo nao sana kama pete na kidole.
Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote .
Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu heti limeenda kumsemea kwa papa alafu watekaji na wauwaji haliwasemi hivi zimo ?
Haya mambo yanatia hasira sana wanafikiri sisi tunafanya masihara ninatoa onyo kwa wapumbavu kama hao.
Kukemea utekaji na mauwaji imekua kosa toka lini ...
Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi.
Wanaogopa kuwajibishwa kwa mauwaji waliyo yafanya wizi wa haki za wananchi na utekaji hadi maiti mahospital.
Tumesha shinda tukutane D25
Wajumbe.
Ubinadamu kazi. Na kila mwanadamu anapita njia nyingi sana katika makuzi yake.
Ipo dhana moja muhimu sana. Dhana ya utimamu wa kihisia.
Hisia za mwanadamu huwa na athari chanya au hasi katika akili yake.
Mathalan, mwanadamu ambae enzi za utoto wake alikulia katika familia zenye...