Nilisema humu kuwa hakutakuwa na Msalia mtume wala nini.
Tatizo mmeua sana Ndugu zetu, mmeua Sanaa.
Hamjaishia kuua, Mmezika kwa Halaiki, haikutosha, Mmechoma Miili ya Ndugu zetu.
Oaaaa unyama mloufanya kwa Taifa hili, NI LAZIMA TUTAWANYONGA, TUTAWAFUNGA NA TUTAWAFILISI TU.
Ninachoipendea Dunia, kamwe haijawahi kuwa mahali salama kwa wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu.
Pale Dunia inapopata taarifa na ushahidi tu juu ya masuala ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu kama mauaji ya Raia imekuwa ikiungana pamoja kutaka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya Wahusika...
Mauaji ya Mwaka huu October 2025 yamefikia zaidi ya 6,900 yamethibitika kwa Samia kupewa idadi hii na mtu ambaye amekuwa anawasiliana naye moia kwa moja tarehe 29 kwamba wauwawe ni shoot to kill Kama nilivyoleta Uzi hapa !
Kikwete amehusika katika kuwapa order kikosi kuwakamata wanaogusa ugali...
Maandamano ya baadhi ya Watanzania wanaoishi Uholanzi yameripotiwa kuanza muda huu nje ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mjini The Hague. Waandamanaji wamebeba mabango wakipinga kile wanachokiita mauaji ya raia nchini Tanzania, na wakitaka uchaguzi ufutwe ili, kwa madai yao, “wananchi...
Wakuu.
Naomba kunakili Maneno ya Mchungaji Msigwa wakati akiwasilisha. "Kuikosoa na kuisema vibaya serikali yako hakumaanishi kuwa huna uzalendo na nchi yako, na kuisema vizuri serikali hakumaanishi kuwa wewe ni mzalendo sana na nchi yako"
Bungeni wanajadili mauwaji yaliyotokea kwa watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.