Wakizungumza Jumapili Februari 22, 2026 katika ibada ya kanisa la PCEA Utawala jijini Nairobi, Viongozi wa Upinzani Kenya Wamedai kuwa serikali kupitia polisi na magenge ya vijana imekuwa ikivuruga mikutano ya kisiasa ya Upinzani, ambapo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i alihoji...
Mfano mzuri ni ushahidi wa yule bibi wa Magomeni kota ambae alilazwa na maiti bahati nzuri akazinduka na akapatiwa matibabu Mungu akamsaidia akapona.
Kwa ujumla nguvu kubwa ilitumika kulinda watawala wabaki madarakani.
Mpaka sasa Tume inayojichunguza itasaidia nini kuliponya taifa?
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29.
Akizungumza na kituo cha televisheni cha Al-Jazeera siku ya Ijumaa, Waziri Kombo amesema hadi sasa hakuna...
Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!.
( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
Changamoto kubwa kuliko zote ya kazi ya siasa ni uvumilivu wa kukosolewa, wakati mwingine hata kuvunjiwa heshima. Ni wazi kuwa ushindani wa kisiasa haupo tu katika uwezo wa kuandaa na kuinadi ilani nzuri ya uchaguzi bali ni pamoja na kuwa na ustahimilivu wa kupokea changamoto za upinzani bila...
Tuna mifano mingi duniani inaonyesha kwamba njia rahisi sana na ya kudumu yenye afya pia ni njia ya kukaa chini na kuzungumza.
Tuna mifano mingi sana ambayo inaonyesha matumizi ya nguvu licha ya kuacha maumivu na makovu na majeraha kwa pande zote ila hayazimi mawazo yanayopiganiwa.
Pia soma...
KAMATAKAMATA NA MATUMIZI YA NGUVU YANAYOENDELEA DHIDI YA VIONGOZI WA KISIASA, WAANDISHI WA HABARI NA WANANCHI
Dar es Salaam, 24, Aprili 2025
Leo tarehe 24 Aprili 2025 ni siku iliyopangwa kwa ajili ya usikilizwaji wa kesi ya inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
President William Ruto on Tuesday acknowledged abuses by Kenya's security forces, in the wake of demonstrations against a recent wave of alleged kidnappings that have sparked outrage in the country.
Security forces in the East African nation have been accused of carrying out dozens of illegal...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua...
Katika falisafa ya Uongozi Matumizi ya nguvu sana huwa siyo jambo linalopewq kipaumbele.
Mwanafalsafa mmoja aliwahi kufananisha Matumizi ya nguvu na Sabuni.
Unajua kadiri unavyoitumia sana sabuni ndivyo inavyoishia na Mwisho kwa sababu unaitumia sana utajikuta imeisha.
Ninapoitazama nchi yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.