matumizi ya mkaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PendoLyimo

    Majiko banifu kupunguza matumizi ya mkaa na kuni Mbeya

    MAJIKO BANIFU KUPUNGUZA MATUMIZI YA MKAA NA KUNI MBEYA . 📌 Majiko banifu 9,330 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Mbeya 📌 Wilaya Sita kunufaika na mradi 📌 Kila Wilaya kupata majiko 1,555 📍 MBEYA Serikali ya Mkoa wa Mbeya kupitia Katibu Tawala wa Mkoa Ndugu, Rodrick Mpogolo leo...
  2. M

    Matumizi ya mkaa na kuni yanaua Watanzania wengi kuliko UKIMWI

    MATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI, UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA WENGINE WAKIITWA WACHAWI. == Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo na nishati hafifu ya mkaa...
  3. Hismastersvoice

    Huku rais Samia na kampeni dhidi ya matumizi ya mkaa, upande wa pili SSH akigawa bodaboda zenye athari kama za mkaa! Hapa ndiyo, niko njia panda

    Rais Samia anaendesha kampeni dhidi ya matumizi ya mkaa kutokana na moshi wake kuwa na athari kwenye mazingira, hilo ni jambo jema. Upande wa pili yuko SSH anasambaza bodaboda nchi nzima ambazo nazo zinatoa moshi sawa na ule wa majiko ya mkaa na ukiangalia uwingi wake ni kama zimerudisha moshi...
  4. comrade_kipepe

    Mkaa na kuni bado vinatumika sana tu

    Hii kampeni yenu mngetaka ifanikiwe mgefanya mnavyojua bei ya gesi ishuke, Kwa mtungi mdogo iwe 15000 kama kipindi cha MUHESHIMIWA, RAIS, DAKTARI JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI, yeye aliwezaje? Matumizi ya kupikia kwaa Gesi na Umeme bado ni vitu LUXURY! bei zipo juu Sana huwez kumshawishi mtu...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Waziri Mkuu Majaliwa: Disemba 31, 2024 siku ya mwisho kwa matumizi ya Mkaa na Kuni Taasisi za Umma

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi...
  6. N'yadikwa

    Bila kuzuia kivitendo matumizi ya mkaa kwa taasisi mazingira yataendelea kuharibika

    Ipo haja kutekeleza kivitendo makatazo ya taasisi mbalimbali nchini Tanzania kutumia nishati ya mkaa na kuni kulisha watu wao Taasisi kama vile Vyuo Vikuu Magereza Mashule Viwanda vya chai na tumbaku Nakadhalika Hawa wote wapigwe marufuku kutumia mkaa na usimamizi wa NEMC uwe wa kivitendo...
  7. Roving Journalist

    Rais Samia amuagiza Waziri Jafo kuandaa katazo na kupiga marufuku matumizi ya Kuni na Mkaa kwenye Taasisi

    Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagizi waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Suleiman Jafo kuandaa katazo na kupiga marufuku matumizi ya Kuni na Mkaa kwa tasisi zote ambazo zinahudumia watu zaidi ya 100 na kutumia nishati safi ili kuhakikisha...
Back
Top Bottom