Nimepata maswali mengi sana toka nimeona habari ya umauti wa yule binti aliyepigwa risasi October 29 na wale mashetani ya kibibi cha Malawi alijitokeza kuomba msaada mwezi jana tu hapa!
Akajitokeza msamaria eti wa kificho asijulikane wala asitajwe ni nani, kwa wenye D hata moja ilitosha kuwapa...
Kuna Binti kafa leo anahusishwa kupigwa risasi na polisi MO29, sasa maoni ya watanzania Mimi ndio yameniacha hoi
"Kuna namna, Yani wameona wammalizie, hajafa Mda wote huo afe leo""Naona sasa hii Tanzania hata Mungu imemshinda"
"Utakuta waliompiga risasi wanaomba na Mungu anawajibu, hizi Imani...
Afande Sele ameeleza msimamo wake kuhusu kusimamishwa kushiriki katika Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, akisisitiza kuwa anaamini tamasha hilo linapaswa kuwa huru na lisihusishwe na siasa.
Kwa upande wa wasanii, Afande Sele amesema kutokuwepo kwa baadhi yao katika matamasha si jambo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.