https://www.youtube.com/watch?v=VvgEZ6hch6A
Kwa mara nyingine tena, kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa Oktoba 29 mwaka jana zimeambatana na kikwazo baada ya upande wa Jamhuri kuhoji uhalali wa viapo vilivyoandaliwa katika kesi hiyo.
Hoja hiyo imewasilishwa mbele ya Jaji Salma...
TAREHE 23 JANUARI, 2026.
WASHINGTON—U.S. Seneta Jim Risch (R-Idaho), Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni.
Uchaguzi wa Uganda - kama ulivyokuwa uchaguzi wa hivi majuzi nchini Tanzania - ulikuwa uchaguzi wa hovyo usio na maana, ulioandaliwa ili kuhalalisha muhula wa saba wa...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, amehoji ukimya wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kushindwa kuchapisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwenye Gazeti la Serikali, akidai kuwa muda wa kisheria wa kufanya hivyo umeshafika ukomo.
Akizungumza jana...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, amehoji ukimya wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kushindwa kuchapisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwenye Gazeti la Serikali, akidai kuwa muda wa kisheria wa kufanya hivyo umeshafika ukomo.
Akizungumza...
Bila hata aibu anasimama na kujitapa nilipata 98% sababu CHADEMA ya Lissu haikushiriki uchaguzi!
Hata kama madaraka ya uraisi ni matamu ndio kwa uongo huu! Watu hawakujitokeza kabisa kupiga kula hata Mungu shahidi hiyo mil 31 ya wapiga kura inatoka wapi?
Haya watu wameuwawa kisa tu wameimba...
Chama hiki kilidai kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi katika majimbo 25 ya uwakilishi Zanzibar na kikitarajiwa kupiga pia yale ya Ubunge.
Huku pia kikiweka pose kuingia kwenye kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar.
Swali, je ni mpango maalum baina yao na kundi la Gasom & Zikamziki...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Samia Suluhu...
Maseneta wawili wa Marekani, Jim Risch na Jeanne Shaheen, wametoa shutuma kali dhidi ya serikali ya Tanzania wakidai kuwa matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 29 yalipangwa kabla ya wananchi kupiga kura.
Katika taarifa yao ya pamoja, viongozi hao wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti wamesema...
Damu za watanzania wenzetu zimemwagika, Mpaka muda huu tunazungumza hatujui Polepole yu wapi, Mpaka muda huu hatujui waliohusika na mauaji na utekaji wa mamia ya watanzania wenzetu wamefikishwa wapi na hatua gani za kisheria zimechukuliwa, Mpaka muda huu viongozi wa vyama vya upinzani, Tundu...
01 November 2025
Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan
Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan :
"Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
31 October 2025
Waziri KOMBO - TUTATANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI JUMAMOSI NOVEMBER 1, 2025
https://m.youtube.com/watch?v=0_yiJMnuPYA
Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mahmoud Kombo Thabit ametetea jinsi serikali yake inavyoshughulikia machafuko ya baada ya uchaguzi na kuzimwa kwa mtandao nchi...
Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau...
Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...?
Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (11) ambayo ni
Jimbo la Kilosa
Jimbo la Mikumi...
Malawi na Zambia zimejijengea utamaduni wa uwajibikaji wa kufanya uchaguzi wa haki, wazi, na unaokidhi viwango tofauti na Bongolalaland ambayo hufanya uchafuzi na kuuita uchaguzi.
Baada ya kura kupigwa, ni kwanini hawatangazi au nao wanaanza kuharibikiwa kama sisi?
Kama ipo nijulisheni kuna chimbo lina odds za uhakika mwezi october. Nataka kusuka mkeka niweke milioni 200.
Mkeka nitakaosuka utakuwa hivi
Rais - Mama Abdul wa Dp World
Mbunge Moro - Abood
Mbunge Gairo - Shabiby
Mbunge Arusha - Makonda
Mbunge Iramba - Mwigulu
Mbunge Mtwara mjini - Double...
Wakuu!
Harambee za kisiasa zimekuwa sehemu ya kawaida katika kampeni, na Tanzania hatuko mbali na hilo.
Hofu yangu michango mikubwa, hasa inapokusanywa na chama kimoja, huibua mjadala iwapo nguvu ya fedha inaweza kushinda hoja na sera.
CCM, kwa mfano, jana Agosti 12 ilifanya harambee na...
Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amefichua kuwa aliwahi kushika nafasi ya mshauri wa juu wa viongozi wawili wa Afrika: Rais wa zamani wa Zambia, Mheshimiwa Michael Sata, na Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mheshimiwa Joseph...
Maneno mengi yalisambaa kwamba CCM watawapa upinzani kama Chauma au ACT Wazalendo baadhi ya majimbo. Hata hivyo, kutokana na jinsi uchaguzi wa ndani wa chama ulivyofanyika, imekuwa wazi kwamba uvumi huu hauna ukweli wowote. Mchakato huo ulikuwa na ushindani mkali na ulipelekea kuchaguliwa kwa...
Matokeo Ya Uchaguzi Wa Rais, 2020:
Dkt. Magufuli John Pombe Joseph - Ccm … 12,516,252
Mahona Leopold Lucas - Nra ……………… 80,787
Shibuda John Paul - Ada-tadea ………… 33,086
Muttamwega Bhatt Mgaywa - Sau ……… 14,922
Cecilia Augustino Mmanga - Demokrasia Makini...
Kufatia malalamiko na clip za video zilizokuwa zinatembea mitandaoni nchi nzima siku ya Jana. Clip za video zilizokuwa zinaonyesha wakinamama wa wanaccm wa wilaya ya mkuranga. wakiomba Masada na kulalamikia kukamata Kura feki wilayani humo katika mchakato wa Uchaguzi wa udiwani viti maalumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.