matatizo ya moyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Watoto 10,000 huzaliwa na matatizo ya moyo Tanzania, gharama ya matibabu hadi Sh16 milioni

    Takribani watoto 10,000 huzaliw ana matatizo ya moyo Tanzania na kati yao watoto 4,000 huhitaji upasuaji wa haraka ili waweze kuishi na gharama a matibabu ya moyo ni kati ya Sh8 milioni hadi Sh16 milioni. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Meritech Ltd, Esther Christopher katika...
  2. Josemyinga

    Ulaaji usiofaa hatari kwa afya yako

    Je wajua? Ulaaji usiofaa unaweza kuongeza hatari ya matatizo ya moyo 😟 “Chips yai na soda baridi sana” 🔥 Hivi vitu vinaongeza mafuta mabaya (kolesteroli) mwilini na vinaweza kuziba mishipa ya damu. Kwa mujibu wa WHO, kati ya vifo 5, vifo 4 vinahusishwa na magonjwa ya moyo. Mshtuko wa moyo...
  3. Roving Journalist

    Dkt. Kisenge: Wastani wa Watoto 10,000 huzaliwa nchini wakiwa na matatizo ya moyo kila mwaka

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeongeza siku mbili zaidi za upimaji bure wa afya ya moyo, hatua iliyochukuliwa kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kujitokeza kupima na kupata ushauri wa kitabibu katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani. Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge...
  4. I

    Wadau zaidi ya 1000 kukutana Zanzibar kujadili namna matibabu ya matatizo ya moyo yanavyoweza kupatikana kwa urahisi Afrika

    Wadau zaidi ya 1000 kutokea mataifa takribani 40 hususani ya Afrika wanatarajiwa kukutanishwa Zanzibar na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), April 2025 katika mkutano wa tatu ambao utalenga kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kufanikisha urahisi wa matibabu yanayohusisha matatizo...
  5. N

    JKCI yatambulisha huduma maalum itakayowezesha baadhi ya wenye matatizo ya moyo kutibiwa wakiwa nyumbani

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetambulisha rasimi huduma maalumu inayotambulika kama 'home-based care' ambayo itawawezesha wagonjwa wenye changamoto mbalimbali ambazo wamekuwa wakishughulika nazo kupatiwa huduma wakiwa majumbani kwao. Akizungumza wakati akitambulisha huduma hiyo...
  6. John Haramba

    Watu 300-350 wanafika hospitali kila siku kwa matatizo ya Moyo, soma jinsi Pombe, Sigara na Mafuta zinavyochangia

    Kutokana na changamoto ya magonjwa ya Moyo ambayo yamekuwa yakisumbua watu wengi hasa miaka ya hivi karibuni, nimezungumza na Dkt. Pedro Pallangyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ya Dar es Salaam ambaye anafafanua kitaalam na katika lugha nyepesi changamoto mbalimbali kuhudu...
  7. BARD AI

    JKCI: Wenye shida Moyo 60% hufika Hospitali wakiwa wamechelewa

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesema asilimia 60 ya watu wanaowapokea wanakuwa wamefikia hatua mbaya ya magonjwa ya moyo, kutokana na kuishi muda mrefu pasipo kutambua hali zao, hivyo kujikuta wakilazimika kutumia gharama kubwa zaidi kwenye matibabu, ambazo zingeweza kupungua...
Back
Top Bottom